Husband Material Anatafutwa

Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,Tuko pamoja
.

Uwiiiii!!!! ndo topic imefungwa?????
wapendwa endeleeni na huduma ya kucoment maana mlikuwa mnasema na watu hapa.:becky::becky:
 
Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,Tuko pamoja.

Relax My dear I gotcha back,I know whatchu feel,JF is the home of GT no matter what,accept challenges baby gal aight?? Yuh didn't describe yo'self how yuh look like,the ball z in yuh court play it right maybe we can be in da same path yuh heard?
 
Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,Tuko pamoja.
Heee!! yamekuwa hayo tena? huyo shostito wako aliyekukaribisha JF hakukwambia kwamba hapa wamejaa wajuwaji? kuna watu wa kujipendekeza kuna wakujishongondowa na kuna wa za uso live.

Anyway unahitaji counseling wewe ngoja nikuletee mtalaam wa hiyo kitu ili akili yako irudi normal. AshaDii karibu saidia bidada huyu hajayazoea maisha ya hapa.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.

Astaqafilulah!!!
 
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.

Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.
Hapo kwenye red, utanihakikishiaje kuwa kutakuwa hakuna baby daddy drama?
 
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
Maneno makali sana dude!
 
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.

Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.

Hapa ni nyumbani, nimefurahi sana, una siku 3 tangu uje hapa jamvini, najua umepata ukaribisho mzuri na ndo maana umepata ujasiri kusema nini unataka, naamin kupitia nyumba hii ya kusema bila woga wala kificho utampata anaye kufaa!

Wish u good lucky
 
Binti yangu Angel2012 umenifurahisha. Kuwa single si big deal. Wapo wengi single lakini single fathers. Je kama ana watoto lakini ni single utabeba? Nitaarifu nikutumie nambari yake mmalizane. Muhimu nashauri mpime kabla ya Ku-PM.
 
Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,Tuko pamoja.

Pole kwa comment zilizoku-irritate, ina jua jambo moja Jf ni mfano wa familia, kuwa na mawazo yanayokinzana ktk familia ni jambo la kawaida na la kutegemewa. Pili unapaswa kuwa GT kuweza kuishi kwa amani na furaha katika famila hii!! Negative na harsh comment zinapaswa kukujenga badala ya kukubomoa, ndoa unayoitaka ni sawa na taasisi ambayo mkinzano wa mawazo na tabia unategemewa pia, unaweza kupata mwanaume muoaji lakini mwenye mawazo na maneno kama haya unayo yaona hapa JF. Fuatilia comment za hawa wanaume kwani zinawakilisha mawazo halisi ya wanaume tulionao katika jamii yetu.
Bado nakusihi, usijutie uamuzi wako wa kupost hii thread hapa, nina hakika utapata mtu! Be patient, mwamini Mungu, omba na kusali!! upo mahali sahihi, utapata ushauri sahihi na utapata mwanaume sahihi!!
 
yale yalee....... Wanawake feki wanataka wanaume halisi

Ukisha beba mimba nje ya ndoa wewe ni doa lisilofutika! Sasa huyu binti anataka mtu mtakatifu, wanawake bwana, sijui labda makabila /tamaduni zingine hazina shida na hilo manungayembe!
 
Mpendwa, unasema awe single mbona wewe una mtoto? Huyo aliyekupa mimba yuko wapi?

Ama kweli tabu, watu washautumia ujana wao wakaenjoy then wanataka vijana walioutunza ujana wao wautumie?! Ni haki kweli hii? I think you should choose to be a second wife, period!
 
Hivi mbona wanaume weengi tu humu wametangaza kutafuta wachumba na kueleza wana mtoto au watoto na huwa hamsemi lolote?where does the difference lies?men are always selfish
 
Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,Tuko pamoja.

we mayai yako yote umeshayalia chips..subiri kudra za mwenyezi Mungu tu,mie labda unipe mwanao ndio ntaoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom