nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Hamjambo wote?
Huruma ya mwanamke iko wapi kama hata kwenye hili dogo haiwezekani?
Mara kwa mara nilikua namchukulia mwanamke kama kiumbe chenye huruma sana, mtu mwenye kuelewa nini maana ya uchungu wa mtoto na purukushani za kumove 4m one place to another huku mtoto akiwa mgongoni, zinavyochosha. kwa jinsi Public Transport zetu zinavyojaa, mama mwenye mtoto anatakiwa kusaidiwa either kupewa seat or kubebewa mtoto. Cha kusikitisha mwanaume ndio huwa wa kwanza kumsaidia mwanamke katika hali kama hii huku mwanamke akijifanya haoni kwa kukwepesha macho yake dirishani. Sio mbaya, kwa mwanaume kusaidia bt women should b ashamed 4 this.
Sasa na wewe una mtoto kwa nini unapanda pasipo na siti? Ndo mambo ya kutegana hayo. Afu nikikuangalia pembeni kwa kuibia mwanao hana nepi na ana makamasi. Au kavalishwa hirizi mkononi ama kiunoni! Mmh, ngumu kumesa. Mi nna huruma sana ila maisha ya third world kwa kweli ni mtihani. Ukimuangalia mbaba ama mbibi mzee, mjamzito ama mwenye mtoto kasimama kando yako unampisha kiti (kama ni bank, hospitali). Ila binafsi siwezi katu kusimama garini, ni hatari kwa usalama na inachosha miguu pia kutegemeana na viatu. Kama gari imejaa usipande, unless ni emergency ya hospitali.
ukweli mtupu.Sasa na wewe una mtoto kwa nini unapanda pasipo na siti? Ndo mambo ya kutegana hayo. Afu nikikuangalia pembeni kwa kuibia mwanao hana nepi na ana makamasi. Au kavalishwa hirizi mkononi ama kiunoni! Mmh, ngumu kumesa. Mi nna huruma sana ila maisha ya third world kwa kweli ni mtihani. Ukimuangalia mbaba ama mbibi mzee, mjamzito ama mwenye mtoto kasimama kando yako unampisha kiti (kama ni bank, hospitali). Ila binafsi siwezi katu kusimama garini, ni hatari kwa usalama na inachosha miguu pia kutegemeana na viatu. Kama gari imejaa usipande, unless ni emergency ya hospitali.
kuna wanawake wanashindwa kuwapangilia watoto wao hata kama mtoto ananguo chache anashindwa kutenga za kushindia nyumbani na za kutokea matokeo yake zote zinafubaa, mtoto anakuwa mchafu. kiukweli hata mimi mtoto kama huyo sikupokei nakuacha ufikilie utakacho.Mazingira yameharibu uhalisia wa mioyo yetu. Nia ya kusaidiana huwa ipo ila sababu ya kuganya hivyo hukosekana.
Binafsi napenda sana watoto na nipo radhi kubeba mtoto wa mwanadamu mwenzangu ila kuna mambo mawili huwa ni kikwazo.
1. Huwa nina kinyaa: Hili hunifanya nisiwe tayari kubeba mtoto ambaye ni mchafu mathalani makamasi yanamtiririka, harufu isiyomithilika n.k
2. Hata siku moja hutoweza kuniona nahangaika na mtoto aliyezindikwa na mahirizi kama kibuyu cha kigagula...sipendi ushirikina hata kidogo.