Huruma hii inatoka wapi?

Huruma hii inatoka wapi?

Mwezi January niliamia mji mmoja nyanda za juu kusini kimasomo,katika Wakati huu wote nimekuwa Mara nyingi nikipata chakula hasa cha jioni katika mgahawa mmoja karibu na chuoni kwangu.
Nilishangaa sikumoja mwezi wa pili nilipo kwenda kulipia gharama ya chakula kwa cashier na bila kutegema nilirudishiwa chenji iliyo zidi kiwango nilicho paswa kurudishiwak kwaufupi nilizidishiwa chenji,kwa kuwa niligundua hilo nikiwa hapo counter nili mrudishia kiwango cha pesa alichozidisha na kuondoka.
Nashindwa kumuelewa huyu dada maana kutoka February mpaka Jana jambo hili la kuzidishiwa chenji limetokea Mara ya tano mpaka jana,cha kushangaza jana Wakatina mrudishia pesa alizozidisha alisikika akisema"nenda tu kaka usijali" nkajikakamua nkaondoka.
Sasa Mimi nisilolijua kwa huyu dada ni Kuwa ananionea huruma au kuna jambo lingine ?Natamani kuhamia mgahawa mwingine maana simuelewi huyu dada.
Hivi una kitu iliyo butu kwanini umgegede?
 
Kwahiyo kama humuelewi unataka sisi tumuelewe tusiyemfahamu?
 
Sijui nikuteje manaake ndo mnaochangia tuitwe wanaume suruali au na wewe ni wa dar
 
Mwezi January niliamia mji mmoja nyanda za juu kusini kimasomo,katika Wakati huu wote nimekuwa Mara nyingi nikipata chakula hasa cha jioni katika mgahawa mmoja karibu na chuoni kwangu.
Nilishangaa sikumoja mwezi wa pili nilipo kwenda kulipia gharama ya chakula kwa cashier na bila kutegema nilirudishiwa chenji iliyo zidi kiwango nilicho paswa kurudishiwak kwaufupi nilizidishiwa chenji,kwa kuwa niligundua hilo nikiwa hapo counter nili mrudishia kiwango cha pesa alichozidisha na kuondoka.
Nashindwa kumuelewa huyu dada maana kutoka February mpaka Jana jambo hili la kuzidishiwa chenji limetokea Mara ya tano mpaka jana,cha kushangaza jana Wakatina mrudishia pesa alizozidisha alisikika akisema"nenda tu kaka usijali" nkajikakamua nkaondoka.
Sasa Mimi nisilolijua kwa huyu dada ni Kuwa ananionea huruma au kuna jambo lingine ?Natamani kuhamia mgahawa mwingine maana simuelewi huyu dada.
Mtoto wa kiume unahongwa hivyo
 
Kweli upele humuota asiye na kucha, wahenga walisema
 
baki hapohapo keshakupenda huyo subiri hatua zaidi zitafata
 
Mtihani ,unaongezeawa hela mda wote huo mtoto wakiume unachukua tuuu,unaongezewa una chukua tuu,bado miezi kadha utaanza kurejesha na faida,mtoto wakiume usikubali kubali kirahisi tuu upewe hasa pesa je kama anatumwa na mtu mwengine akupe? ebu fanya utafiti haraka iwezekanavyo...........
 
Back
Top Bottom