KUMBAMBANDILA
Member
- Feb 21, 2016
- 86
- 62
Ukisikia unaweza usiamini lakin ni kwel kabisa hakuna ata chembe ya uongo.
Kuna jamaa yangu wa karibu sana anaishi magomeni na anajishughulisha na mambo ya udalali.
Aliniambia ana tatizo la kupatwa na haja kubwa mara tu anapojiandaa kukutana kimwili na mpenzi wake na hasa kwenye mpenzi mpya.
Anasema ata awe hajapata choo wiki mzima, mara tu akiwa na appointment ya sex na mchumba siku hiyo atashusha mzigo wa nguvu.
JF ni pana na ina watu wenye hadhi tofauti, Naomba kama kuna doctor au mwana saikolojia atufafanulie kitaalam tupate mwanga kidogo.
NB.kwa kifupi ni kwamba jamaa lazima anye kabla ya sex ata kama alikua na matatizo ya choo kwa wiki mzima.