Huooooo

Huooooo

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
yaani hapa kibaha mailimoja , umeme ukirudi utawasikia watu mitaani wakisema huooooo...!!!
 
Hata hakichekeshi.
Pengine haichekeshi kwa sababu mtu hacheki kilema, kwani umeme kuzimwa na kuwashwa umekuwa kilema. Ili kuthibitisha kuwa haya hutokea sehemu nyengine mbali na Kibaha, Mpemba mmoja alipokuwa na wenzake wanasali msikitini alifanya hivyo hivyo.

Wakiwa katika sala ghafla umeme ulizimwa ikabidi waendelee kula mbacha gizani. Ghafla uliwashwa wakiwa wanasujudi. Mpemba akasahau sala na kupiga kelele: "Huo, huo, huo, unwashwa! Waona abaa, unwashwa!
 
Pengine haichekeshi kwa sababu mtu hacheki kilema, kwani umeme kuzimwa na kuwashwa umekuwa kilema. Ili kuthibitisha kuwa haya hutokea sehemu nyengine mbali na Kibaha, Mpemba mmoja alipokuwa na wenzake wanasali msikitini alifanya hivyo hivyo.Wakiwa katika sala ghafla umeme ulizimwa ikabidi waendelee kula mbacha gizani. Ghafla uliwashwa wakiwa wanasujudi. Mpemba akasahau sala na kupiga kelele: "Huo, huo, huo, unwashwa! Waona abaa, unwashwa!
bora hata yako umeichakachua inachekesha kidogo.
 
Back
Top Bottom