Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
- Thread starter
- #21
Sawa endelea kuuimbaNo reforms no election🎶 ni bonge la wimbo
Sawa endelea kuuimbaNo reforms no election🎶 ni bonge la wimbo
Zipo nyingi tu Kama Malawi, Zambia, Botswana na Kenya ambazo mlizisaidia kupata uhuru.Kama ipi
Lile wazo lako la kuomba basi ulilopanda lipate ajali ili uwaibie marehemu na majeruhi bado uanaishi nalo na utakufa nalo! Anayeivunja amani ya nchi ni ccm wanaodhani wanna hati miliki ya kuiongoza nchi hii.Naona watanzania mumeichoka amani sasa
Kama Malawi, Africa Kusini nk.Kama ipi