Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,162
- 11,229
Mara nyingi jeuri ya Simba kwa Nyati ni lazima Simba wawe wengi . Ikitokea One to one encounter Simba atapata kibano tu kwa Nyati
Huyo bila shaka alikuwa simba mzee........
Kuna mengi tunaweza kujifunza kama binadamu hapa.
Cha kusikitisha (kufurahisha?) ni kuwa simba huyu alikufa baada ya siku mbili na nyati alikufa baadae kutokana na infection zilizotokana na majeraha.