Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

Ndio naweza kufua nguo za ndani za mwanaume mwenzangu

sio hizi safi tu hata zile ambazo kazichafua na haja nafua tena

kwa ubora wa hali ya juu,sina kinyaa,najua namna yakujitunza afya yangu

siogopi chochote,natafuta maisha sitafuti Show Off,ninapokua sina pesa nazitafuta sana mkuu

kazi pekee ambayo sitofanya ni yakumkosea muumba au kuvunja sheria za nchi,zingine zote nafanya.

ukinikuta natafuta pesa mkuu,wewe ukitaka hata kunitemea mate nitemee sitokufanya kitu,si unajiona

umeyapatia sana,its ok with me,ninachojua tu siku zote hakunaga situation Permanent,everything is temporary tu, hata hali hii ya umaskini wa kufua hizo nguo muda wake utapita tu,n muda tu boss.
Duh atakama una shida na ela ila hiyo ni too much
 
siogopi chochote,natafuta maisha sitafuti Show Off,ninapokua sina pesa nazitafuta sana mkuu
Huwezi kamwe kutajirika kwa kufua nguo za watu majumbani mwao au kwa kupiga deki na kufuta vumbi.

Nina mfahamu mzee mmoja alikuwa dobi mtaani kwetu, tokea sisi tukiwa watoto mpaka tumekuwa watu wazima mzee bado anafanya udobi na hata baiskeli hajaweza kununua. Kila senti anayoipata inaishia kwenye chakula tu basi.

My friend, tusidanganyane na hizi ideas zisizokuwa na tija. Tupeane ushauri wa maana lakini siyo michongo ya kufua nguo za watu majumbani.
 
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.
Controla the genius unatuandaa vizuri sisi machinga tunaostafishwa octbr.kuna kitu nakuona hapa na pia najazia nyama....tafuta mahitaji ya msingi nunua hizo bidhaa weka package kali mno kuwa smart ikibidi print t shirt zenye adress yako.ingia front kibabe.vipeperushi .b card.insta na tweet vihusike pia. NB nafurahia sana anguko la machinga mana bidhaa nyingi hazitozagaa mabarabarani.na wanaotembeza hawana weledi
 
Kwanza kabsa nikushukuru CONTROLA kwa moyo wa kipekee ulionao unatusaidia wengi kupitia mawazo yako ALLAH akuzidishie japo najua asilimia kubwa ni watu wa kusoma nakala zako na sio kucomment

Pili binadamu ata umfanyie wema gani lazma atakuponda tu..Umejitoa kuandika nakala mbalimbali tena free bila malipo yoyote ila binadamu hawana wema endelea kuwapuuza ili wengine tuendelee kunufaika na ujumbe zako najua kwa upande Fulani inakuathiri ila ALLAH azidi kukupa ushujaa na uvumilivu wa kuwapuuza kwa manufaa ya wengine wanaopenda unachofanya

Tatu watu wengi humu wanaandika thread nyinginyingi kwahyo kunawengine wanaona wivu kwakua ushapata followers wengi na wao kila wakipost hakuna muitikio kama unaoupata ww so makasiriko yao wanaamua kuja kuponda na kuweka negativity nyingi kuhusu ww lengo watu wasikuamini ila kama ALLAH ameamua kukuinua amini hakuna wa kukushusha

MWISHO KABSA akili za kuambiwa changanya na zako CONTROLA katoa ushauri wa kutengeneza business Card kwaajili ya kutafuta wateja dunia sahv inaendeshwa kwa taharifa na ili upate wateja taharifa muhimu kuwafikia kwahyo chukua ilo somo then ligeuze kwa namna nyingine unayoona itakufaa na sio kuponda ponda sio lazma ufue nguo au uoshe vyombo.Unaweza kutumia hyo idea ya kujitangaza ata kwa kufuga kuku na unahitaji upate wateja
Wabongo tunapenda kutafuniwa na kumezewa mtu anakupa idea unaanza kucrush ooh hizo dharau,ooh ww ungeweza kufanya hvyo ebu tujiongeze tumia business card kujitangaza kama unauza mayai au unauza kuku n.k tusikariri kila kitu tuambiwe tujiongeze pale tunapopata ushauri kama huu...

NB:: NIMEAMUA KUANDIKA KIUREFU SANA WATU WANAKERA SANA MTU ANAJITOA MNAAZA KUPONDA, HAUJALAZIMISHWA KATOA USHAURI KAMA UNAONA HAUKUFAI PITA HIVI NA SIO UNAKUJA KUCOMMENTS UJINGA WAKO
 
Huwezi kamwe kutajirika kwa kufua nguo za watu majumbani mwao au kwa kupiga deki na kufuta vumbi.

Nina mfahamu mzee mmoja alikuwa dobi mtaani kwetu, tokea sisi tukiwa watoto mpaka tumekuwa watu wazima mzee bado anafanya udobi na hata baiskeli hajaweza kununua. Kila senti anayoipata inaishia kwenye chakula tu basi.

My friend, tusidanganyane na hizi ideas zisizokuwa na tija. Tupeane ushauri wa maana lakini siyo michongo ya kufua nguo za watu majumbani.
Safi
 
Kwanza kabsa nikushukuru CONTROLA kwa moyo wa kipekee ulionao unatusaidia wengi kupitia mawazo yako ALLAH akuzidishie japo najua asilimia kubwa ni watu wa kusoma nakala zako na sio kucomment

Pili binadamu ata umfanyie wema gani lazma atakuponda tu..Umejitoa kuandika nakala mbalimbali tena free bila malipo yoyote ila binadamu hawana wema endelea kuwapuuza ili wengine tuendelee kunufaika na ujumbe zako najua kwa upande Fulani inakuathiri ila ALLAH azidi kukupa ushujaa na uvumilivu wa kuwapuuza kwa manufaa ya wengine wanaopenda unachofanya

Tatu watu wengi humu wanaandika thread nyinginyingi kwahyo kunawengine wanaona wivu kwakua ushapata followers wengi na wao kila wakipost hakuna muitikio kama unaoupata ww so makasiriko yao wanaamua kuja kuponda na kuweka negativity nyingi kuhusu ww lengo watu wasikuamini ila kama ALLAH ameamua kukuinua amini hakuna wa kukushusha

MWISHO KABSA akili za kuambiwa changanya na zako CONTROLA katoa ushauri wa kutengeneza business Card kwaajili ya kutafuta wateja dunia sahv inaendeshwa kwa taharifa na ili upate wateja taharifa muhimu kuwafikia kwahyo chukua ilo somo then ligeuze kwa namna nyingine unayoona itakufaa na sio kuponda ponda sio lazma ufue nguo au uoshe vyombo.Unaweza kutumia hyo idea ya kujitangaza ata kwa kufuga kuku na unahitaji upate wateja
Wabongo tunapenda kutafuniwa na kumezewa mtu anakupa idea unaanza kucrush ooh hizo dharau,ooh ww ungeweza kufanya hvyo ebu tujiongeze tumia business card kujitangaza kama unauza mayai au unauza kuku n.k tusikariri kila kitu tuambiwe tujiongeze pale tunapopata ushauri kama huu...

NB:: NIMEAMUA KUANDIKA KIUREFU SANA WATU WANAKERA SANA MTU ANAJITOA MNAAZA KUPONDA, HAUJALAZIMISHWA KATOA USHAURI KAMA UNAONA HAUKUFAI PITA HIVI NA SIO UNAKUJA KUCOMMENTS UJINGA WAKO
Usikute na wewe ni tapeli mwenzie.
Nyie watu mnatapeli dada zetu.
Pesa na bado mbususu
 
We mwanangu kama mungu kakushusha toka mbinguni directly. Big up for big idea ningekuw sina issue ya kufanya i swear ningefany hiyo plan.

Mungu akubariki sana kusaidia vijana wenzako. Wanangu Tupunguze Kubet Mikeka. God Bless You Man.
 
Uzi mzuri Sasa ndo najiuliza Mimi kenzy nikutane na mmburungutu wa hela niwaze kuuacha! Au mimi huyuhuyu kenzy niende kwenye nyumba geti Kali halafu mtoto anitake nisimle mimi huyu..? Mimi kenzy niweke uaminifu mbele halafu nyege nyuma,Mimi kenzy niweke uaminifu mbele tamaa nyuma sasa nani ataenda motoni..?😂
hahahaaa!daaa hapo kwenye nyege mmh ni ngumu kuchomoka kama hukukulia kwenye familia ya misa takatifu
 
Back
Top Bottom