Huna 10M usisumbue watu kudai michango ya harusi yako

Hv kuhangaika kulisha na kunywesha watu 300 wa nn. Kwangu watu hamsini tu, kwanza hata hao ilkuwa ni wengi sana. Yaan nihangaike weee na kujibana ili Nije nifurahishe watu?
Hata mimi nikiwazaga maana ya harusi nakosa sababu ya msingi ya kuhangaika nayo kabisa.

Uhangaike, ukeshe, ujibane ili mwisho wa siku ufurahishe watu tu na hapo bado kuna wataokusambazia mbovu tu kua hawakuridhika na hiki ama kile.

Wewe hufurahii chochote cha maana, kama ni mzee wa mitungi siku hiyo itatakiwa usinywe sana ama usiguse kabisa, ila waalikwa wanywe wajigaragaze, wale mpaka wajambe ni wao tu.

Ni bora iyo pesa niende kuenjoy na wife nchi ya mbali huko.
 
Umesema kabisa ulikuwa unajibana sana mpaka ukafikisha mil 15.najua baada ya harusi ulikuwa hauna hata miaka mfukoni ukaanza kutegemea mshahara, kama hauna huwezo wa harusi yanini kujitesa? Alika watu kadhaa nenda kanisani kamalize mchezo baada ya ndoa kufungwa kila mtu achanje mbuga.
Kipindi nipo apeche lolo nilimaliza mchezo kanisani kila mtu anatoka kanisani anafonya tu walidhani kuna mchele wa bure
 
Hahahahah ulinitisha sana mkuu
 
Habarin za muda huu!
Niende moja kwa moja ktk mada.
Harusi ama Send-off n suala la mpango. Nina amini mpaka unaamua kuoa na kufanya harusi(sherehe) umejipanga. Ama mnaandaa sherehe ya kumuaga binti yenu(Send-off) mmejipanga pia.

Mimi nilipotaka kuoa na kufanya harusi nilijipanga kwa pesa. Nilikuwa nabana matumiz yasiyo ya lazima na kuweka akiba.
Mpaka naitisha kikao Cha familia nilikuwa na 15M.
Pesa ya ukumbi 2M ipo,
Mc na Mziki 1.5M ipo,
Mapambo 1.5M ipo
Picha na video 1.5M,
Usafiri wangu, wakwe na wageni waalikwa 2M ipo,
Pesa ya chakula kwa wageni 300 makadirio nilitenga 6M(kwa maana ya sahani 20,000).
Wazazi wakasema vinywaji niwaachie
Zawadi ndugu zangu

Sikutaka lawama na mtu, Wala kufanyiwa harusi. Nilifanya harusi.

Mimi sitachanga hata mia kama mhusika anakuja na porojo ana 1M, au 1.5M. kifupi Bwanahauri akiwa na chini ya 10M sichangi, hiyo harusi. Sababu yeye mwenyewe anatania.
Harusi sio Ugonjwa ama Msiba. Harusi n suala la mpango.

Sio lazima wewe uwe na mtazamo kama wangu. Huu ni wangu Mimi.

Ukiendekeza sana hayo mambo ya kuchangia hutafanya la maana.
IMG_20221118_194908.jpg

It's an amazing 🙂🙂🙂​
 
Usipofanya harusi inakuaje??

Umenena mkuu. Huu n ushamba tu. Mtu anapanga harusi kwa pesa za watu. Usipompa anakununia inashangaza kidogo.
Ifike Mahali tuachane na haya mambo
Ila nyie ndugu zetu mna tabu sana ....mnapenda sherehe kwa kweli sijui kwa nn wakati ndoa ni cheap sana kanisani au msikitini fasta Ushafanya mambo..
Ila ushamba na kutokujiamini mnataka ile showoff hapa bongo matajiri kibao ndoa zao wamepiga kimyakimya mmoja wapo ni mtangazaji mzuri pale clouds ambaye mpaka sasa vijana wanajua hajaoa ila alishaoa kitambo kimya kimya na ana mabillion ya pesa bank.

Wengi hamjiamini na Kuna kamtindo sasa haswa whatsap unakuta uko added kweny group sometimes wanafunga watu wasicomment wala kuchat then unaona tu list ya waliotoa kama ujanja ujanja na kulazimisha watu vile.
 
Habarin za muda huu!
Niende moja kwa moja ktk mada.
Harusi ama Send-off n suala la mpango. Nina amini mpaka unaamua kuoa na kufanya harusi(sherehe) umejipanga. Ama mnaandaa sherehe ya kumuaga binti yenu(Send-off) mmejipanga pia.

Mimi nilipotaka kuoa na kufanya harusi nilijipanga kwa pesa. Nilikuwa nabana matumiz yasiyo ya lazima na kuweka akiba.
Mpaka naitisha kikao Cha familia nilikuwa na 15M.
Pesa ya ukumbi 2M ipo,
Mc na Mziki 1.5M ipo,
Mapambo 1.5M ipo
Picha na video 1.5M,
Usafiri wangu, wakwe na wageni waalikwa 2M ipo,
Pesa ya chakula kwa wageni 300 makadirio nilitenga 6M(kwa maana ya sahani 20,000).
Wazazi wakasema vinywaji niwaachie
Zawadi ndugu zangu

Sikutaka lawama na mtu, Wala kufanyiwa harusi. Nilifanya harusi.

Mimi sitachanga hata mia kama mhusika anakuja na porojo ana 1M, au 1.5M. kifupi Bwanahauri akiwa na chini ya 10M sichangi, hiyo harusi. Sababu yeye mwenyewe anatania.
Harusi sio Ugonjwa ama Msiba. Harusi n suala la mpango.

Sio lazima wewe uwe na mtazamo kama wangu. Huu ni wangu Mimi.

Ukiendekeza sana hayo mambo ya kuchangia hutafanya la maana.

Na ni wewe tu unafanya arusi hiyo, Kuna wengine tuna wageni 30 tu Sasa hizo hela za nini?

Kwa kifupi wewe ni limbukeni
 
Nakubaliana nawe kwa kipindi kile nilikuwa mjinga kwa pesa niliyotumia. Napata usumbufu sana wa michango huku mtaani, kama deni.
By theway mtoa mada kuchangia za watu hujalazimishwa wala husumbuliwi
..ila wewe ni mjinga hata km umenizidi umri huwezi kujibana kote huko ili uone ndoa ya kifahari labda ungekuwa ni tajiri ila kumbe mfanyakazi tu wa kawaida ulishindwa nini kufunga ya bajeti hata ya million nne au tatu
 
Nakubaliana nawe kwa kipindi kile nilikuwa mjinga kwa pesa niliyotumia. Napata usumbufu sana wa michango huku mtaani, kama deni.
Ok..i appreciate your kindness nisamehe kwa kukuita mjinga ila kama umeni acknowledge mwenyewe kwamba unakiri ulikosea hio imekaa vzr ni sasa nasi tujifunze ...nadhani pia pressure ilichangia toka kwa wazazi wako ambao inaonekana ni wa kishua na walishachangia harusi nyingi huko nyuma hivyo ulitegemea pia support ingekuwa kubwa hivyo ilibidi ujitoe kwelikweli
 
Tutapozaliwa upya. Kinachoniudhi Mimi mtu anakulazimisha na kiwango kabisa.
Ujinga mwingine huu
Double 100,000
Single 50,000 au 60,000
Ogopa jamii ya watu wajinga kupindukia, hakika sisi waafrika [ watu weusi ] bado ni wajinga kupindukia sijui ni lini tutapambana na ujinga unao endelea kututafuna.
 
We jamaa noma sana. Watu wanapenda sana mchele na bia
Umesema kabisa ulikuwa unajibana sana mpaka ukafikisha mil 15.najua baada ya harusi ulikuwa hauna hata miaka mfukoni ukaanza kutegemea mshahara, kama hauna huwezo wa harusi yanini kujitesa? Alika watu kadhaa nenda kanisani kamalize mchezo baada ya ndoa kufungwa kila mtu achanje mbuga.
Kipindi nipo apeche lolo nilimaliza mchezo kanisani kila mtu anatoka kanisani anafonya tu walidhani kuna mchele wa bure
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wala ucjali mkuu. Yaah wazazi wamechanga sana, walitaka kurudisha nguvu yao. Ila jifunze kaka, fanya jambo jepesi lenye mantiki
Ok..i appreciate your kindness nisamehe kwa kukuita mjinga ila kama umeni acknowledge mwenyewe kwamba unakiri ulikosea hio imekaa vzr ni sasa nasi tujifunze ...nadhani pia pressure ilichangia toka kwa wazazi wako ambao inaonekana ni wa kishua na walishachangia harusi nyingi huko nyuma hivyo ulitegemea pia support ingekuwa kubwa hivyo ilibidi ujitoe kwelikweli
 
Kumpangia mtu kiwango eti double 100,000, single 50,000 kwa usawa huu ni wizi tu. Na ushamba anayechanga Kisha unalalamika eti nimekunywa bia mbili tu.
 
Back
Top Bottom