Huna 10M usisumbue watu kudai michango ya harusi yako

mtani21

JF-Expert Member
Jun 30, 2021
855
1,355
Habarin za muda huu!
Niende moja kwa moja ktk mada.
Harusi ama Send-off n suala la mpango. Nina amini mpaka unaamua kuoa na kufanya harusi(sherehe) umejipanga. Ama mnaandaa sherehe ya kumuaga binti yenu(Send-off) mmejipanga pia.

Mimi nilipotaka kuoa na kufanya harusi nilijipanga kwa pesa. Nilikuwa nabana matumiz yasiyo ya lazima na kuweka akiba.
Mpaka naitisha kikao Cha familia nilikuwa na 15M.
Pesa ya ukumbi 2M ipo,
Mc na Mziki 1.5M ipo,
Mapambo 1.5M ipo
Picha na video 1.5M,
Usafiri wangu, wakwe na wageni waalikwa 2M ipo,
Pesa ya chakula kwa wageni 300 makadirio nilitenga 6M(kwa maana ya sahani 20,000).
Wazazi wakasema vinywaji niwaachie
Zawadi ndugu zangu

Sikutaka lawama na mtu, Wala kufanyiwa harusi. Nilifanya harusi.

Mimi sitachanga hata mia kama mhusika anakuja na porojo ana 1M, au 1.5M. kifupi Bwanahauri akiwa na chini ya 10M sichangi, hiyo harusi. Sababu yeye mwenyewe anatania.
Harusi sio Ugonjwa ama Msiba. Harusi n suala la mpango.

Sio lazima wewe uwe na mtazamo kama wangu. Huu ni wangu Mimi.

Ukiendekeza sana hayo mambo ya kuchangia hutafanya la maana.
 
Familia iliulizwa mnashngp wakajibu wana 2M nawamelipia ukumbi wakaambiwa mnafanya utani hiyo sio hela wakapush 2.5 wakambiwa bdo hakuna kitu apo wakapush hadi 4M wakaambiwa bado Haahaa wakaanza kupanic wakaambiwa haya kaeni chini tuambieni mntaka harusi ya ukubwa gan..inshort wanakamat hawakutak kubebshwa zigo
 
Yaah hao wanakamati wapo smart sana. Kuna watu wanaleta utani sana kwa jambo nyeti. Wasingekaziwa hiyo 4M isingetoka.
Familia iliulizwa mnashngp wakajibu wana 2M nawamelipia ukumbi wakaambiwa mnafanya utani hiyo sio hela wakapush 2.5 wakambiwa bdo hakuna kitu apo wakapush hadi 4M wakaambiwa bado Haahaa wakaanza kupanic wakaambiwa haya kaeni chini tuambieni mntaka harusi ya ukubwa gan..inshort wanakamat hawakutak kubebshwa zigo
 
Ila nyie ndugu zetu mna tabu sana ....mnapenda sherehe kwa kweli sijui kwa nn wakati ndoa ni cheap sana kanisani au msikitini fasta Ushafanya mambo..
Ila ushamba na kutokujiamini mnataka ile showoff hapa bongo matajiri kibao ndoa zao wamepiga kimyakimya mmoja wapo ni mtangazaji mzuri pale clouds ambaye mpaka sasa vijana wanajua hajaoa ila alishaoa kitambo kimya kimya na ana mabillion ya pesa bank.

Wengi hamjiamini na Kuna kamtindo sasa haswa whatsap unakuta uko added kweny group sometimes wanafunga watu wasicomment wala kuchat then unaona tu list ya waliotoa kama ujanja ujanja na kulazimisha watu vile.
 
By theway mtoa mada kuchangia za watu hujalazimishwa wala husumbuliwi
..ila wewe ni mjinga hata km umenizidi umri huwezi kujibana kote huko ili uone ndoa ya kifahari labda ungekuwa ni tajiri ila kumbe mfanyakazi tu wa kawaida ulishindwa nini kufunga ya bajeti hata ya million nne au tatu
 
l
giphy.gif
 
Watu 300 wengi sana, mbaya zaidi wabongo wengi hawana utamaduni wa kuleta zawadi nono , unawaalika buree na mwisho wa siku zawadi hawaleti

Back
Top Bottom