ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,302
- 31,716
Ndoa ni kamari ngumu sana unaweka stake 15M home win mara final score 0-0 mkeka ume chanika
Gharama zinatofautianaHabarin za muda huu!
Niende moja kwa moja ktk mada.
Harusi ama Send-off n suala la mpango. Nina amini mpaka unaamua kuoa na kufanya harusi(sherehe) umejipanga. Ama mnaandaa sherehe ya kumuaga binti yenu(Send-off) mmejipanga pia.
Mimi nilipotaka kuoa na kufanya harusi nilijipanga kwa pesa. Nilikuwa nabana matumiz yasiyo ya lazima na kuweka akiba.
Mpaka naitisha kikao Cha familia nilikuwa na 15M.
Pesa ya ukumbi 2M ipo,
Mc na Mziki 1.5M ipo,
Mapambo 1.5M ipo
Picha na video 1.5M,
Usafiri wangu, wakwe na wageni waalikwa 2M ipo,
Pesa ya chakula kwa wageni 300 makadirio nilitenga 6M(kwa maana ya sahani 20,000).
Wazazi wakasema vinywaji niwaachie
Zawadi ndugu zangu
Sikutaka lawama na mtu, Wala kufanyiwa harusi. Nilifanya harusi.
Mimi sitachanga hata mia kama mhusika anakuja na porojo ana 1M, au 1.5M. kifupi Bwanahauri akiwa na chini ya 10M sichangi, hiyo harusi. Sababu yeye mwenyewe anatania.
Harusi sio Ugonjwa ama Msiba. Harusi n suala la mpango.
Sio lazima wewe uwe na mtazamo kama wangu. Huu ni wangu Mimi.
Ukiendekeza sana hayo mambo ya kuchangia hutafanya la maana.
Ametekeza 15M kwa usiku mmoja na hapo utakuta kajibana hata kwa miaka 3 au 4By theway mtoa mada kuchangia za watu hujalazimishwa wala husumbuliwi
..ila wewe ni mjinga hata km umenizidi umri huwezi kujibana kote huko ili uone ndoa ya kifahari labda ungekuwa ni tajiri ila kumbe mfanyakazi tu wa kawaida ulishindwa nini kufunga ya bajeti hata ya million nne au tatu