here is the place where people can dare to take openly.hawa ni watoto au wadogo zetu kama mtu comb zote zimebalance au amekwama kwa nini asije hapa kuomba ushauri ambako atapata mawazo tena kutoka kwa wataalam waliobobea ambao katika maisha yake ingekuwa ndoto kukutana uso kwa uso.msisite wadogo zangu karibuni sana we(I) will adice you accordingly whenever possible

mawazo madogo bwana wangeuliza kupz,kuachwa na demu au kukeketwa ungeona majibu mtiririko humu loo shameYaani nyie watu ni washamba.....washamba ndio.....kweli masikini akipata ------ hulia mbwata,hili ni jukwaa la elimu na sisi ni vijana ni muhimu kushauriana badala ya kuanza kuzinguana humu....kama hujisikii kutoa msaada piga kimya watu tunakuja kuulixa humu kwa sababu tunajua wapo kaka zetu waliotuzidi na wako experienced na vitu tunavyotaka sisi....kabla hujakiingia kitu ni lazima ujue faida zake strenght na ugumu wake ili ukifanya maamuzi usije kujutia baadae....
PIGENI KIMYA TAFADHALI WAACHIENI WANAOTAKA KUSHAURI
Mie ata nilale kwenye chupa but nimesema
sent via Samsung galaxy S4
haya maswali ya nikasome program gani mara ooo mkopo nitapata ...waulizeni tcu na bodi
!aaarrrrrgggghh
sent via Samsung galaxy S4
Wanakera sana mtu umemaliza umepata matokeo unashindwa kujua ukasomee nini? mpaka uje kuuliza humu acheni ushamba.
NIMETUNGUA RASMI
ila ieleweke huu sio ushamba ni uzalendo wa kutaka watu wawe wanafuatilia mambo yao ya msingisehemu husika
SAMAHANI KWA NILIYEMKWAZA.
sent via Samsung galaxy S4