Humu sio TCU WALA HESLB

Abelian

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
204
33
haya maswali ya nikasome program gani mara ooo mkopo nitapata ...waulizeni tcu na bodi
!aaarrrrrgggghh
sent via Samsung galaxy S4
 
Wanakera sana mtu umemaliza umepata matokeo unashindwa kujua ukasomee nini? mpaka uje kuuliza humu acheni ushamba.
 
here is the place where people can dare to take openly.hawa ni watoto au wadogo zetu kama mtu comb zote zimebalance au amekwama kwa nini asije hapa kuomba ushauri ambako atapata mawazo tena kutoka kwa wataalam waliobobea ambao katika maisha yake ingekuwa ndoto kukutana uso kwa uso.msisite wadogo zangu karibuni sana we(I) will adice you accordingly whenever possible
 
Yaani nyie watu ni washamba.....washamba ndio.....kweli masikini akipata ------ hulia mbwata,hili ni jukwaa la elimu na sisi ni vijana ni muhimu kushauriana badala ya kuanza kuzinguana humu....kama hujisikii kutoa msaada piga kimya watu tunakuja kuulixa humu kwa sababu tunajua wapo kaka zetu waliotuzidi na wako experienced na vitu tunavyotaka sisi....kabla hujakiingia kitu ni lazima ujue faida zake strenght na ugumu wake ili ukifanya maamuzi usije kujutia baadae....
PIGENI KIMYA TAFADHALI WAACHIENI WANAOTAKA KUSHAURI
 
like it
 
very good!
 
Mtoa mada una hasira kwa kuwa wewe nduguyo ameishia "round about......?"
 
Yaani nyie watu ni washamba.....washamba ndio.....kweli masikini akipata ------ hulia mbwata,hili ni jukwaa la elimu na sisi ni vijana ni muhimu kushauriana badala ya kuanza kuzinguana humu....kama hujisikii kutoa msaada piga kimya watu tunakuja kuulixa humu kwa sababu tunajua wapo kaka zetu waliotuzidi na wako experienced na vitu tunavyotaka sisi....kabla hujakiingia kitu ni lazima ujue faida zake strenght na ugumu wake ili ukifanya maamuzi usije kujutia baadae....
PIGENI KIMYA TAFADHALI WAACHIENI WANAOTAKA KUSHAURI
mawazo madogo bwana wangeuliza kupz,kuachwa na demu au kukeketwa ungeona majibu mtiririko humu loo shame
 
Hivi si hili jukwaa la elimu,sa waende jukwaa gani?ebu mtoa mada waelekeze,kumbuka hakuna anayelazimishwa kutoa ushauri!ukiona huna cha kusema piga kimya pumb*f..u kabisa
 
Sio lazima utoe ushauri kwa kila unachokiona,pale usipojisikia paache papite wanaoweza watafanya.
 
Tatizo wanauliza maswali ya Kipuuuuzi mfano eti anauliza asome chuo gani ..so ina maana mpaka unamaliza form six hujui vyuo vilivyopo nchini.
Haya TCU walishatoa guidelines za vyuo afu bado unauliza humu usome chuo gani.
Mie ata nilale kwenye chupa but nimesema
sent via Samsung galaxy S4
 
akila yako haina akili ndugu! ko unataka tutafute wapenzi humu!
 
haya maswali ya nikasome program gani mara ooo mkopo nitapata ...waulizeni tcu na bodi
!aaarrrrrgggghh
sent via Samsung galaxy S4

TATIZO NI UGENI WAKO JF........ Sisi wengine JF imetusaidia kupata mwanga sasa naona wewe ndio unajaza thread zisizo na mashiko katika jukwaa hili tukufu......
 
Wanakera sana mtu umemaliza umepata matokeo unashindwa kujua ukasomee nini? mpaka uje kuuliza humu acheni ushamba.

labda nikuulize wewe,nini maana ya jamii forums,afu cjui kama ni ushamba,kutaka mawazo/ushauri si ujinga! Hivyo naomba utengue kauli yako,hao ni wadogo zetu,watanzania wenzetu! TUWASAIDIE JAMANI,na kama hutaki then kuwa mpole usipost ujinga wako hapa ku initiate wengine pia wapost ujinga!
 
NIMETUNGUA RASMI
ila ieleweke huu sio ushamba ni uzalendo wa kutaka watu wawe wanafuatilia mambo yao ya msingisehemu husika
SAMAHANI KWA NILIYEMKWAZA.
sent via Samsung galaxy S4
 
NIMETUNGUA RASMI
ila ieleweke huu sio ushamba ni uzalendo wa kutaka watu wawe wanafuatilia mambo yao ya msingisehemu husika
SAMAHANI KWA NILIYEMKWAZA.
sent via Samsung galaxy S4

Akili yako mzungu wa reli, nadhan unafananisha JF na facebook sasa unataka watu wapost upwagu wenu wa mapenzi ndio ufurahi.
 
haya nyie washindi ngoja nisitembelee hili jukwaa mpaka waende vyuoni.
Naamini wakianza chuo watakuja tena na mbwembwe .."jamani nimeripoti chuo leo ila mkopo sijapata "... sasa sijui anadhani humu ni bodi ya mkopo
The sum of whole>the sum of its parts
sent via Samsung galaxy S4
 
Back
Top Bottom