humu ndani mpo?

rachi

New Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
3
Reaction score
1
hodi wenyeji wa jumba la watu makini. kwa jina naitwa rachi hatimae nami leo nimebisha hodi.ni matumaini yangu kuwa mtani karibisha na kuniongoza.jamani hodiiiii hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Karibu mwayego mie ndo Maria Roza :biggrin1:

dada maria roza nashukuru kwa kunikaribisha lakini mh!!!!! mbona unanicheka? hako ka picha kametoa meno matatu mwayego
 
karibu mr rach boy.tunahitaji mchango wako. si unajua kale ka msemo karibu mgeni mwenyeji....................??????????
 
Welcome, tena nimekupa mariaroza ndo atakuwa mshauri wako mkuu.
 
hodi wenyeji wa jumba la watu makini. kwa jina naitwa rachi hatimae nami leo nimebisha hodi.ni matumaini yangu kuwa mtani karibisha na kuniongoza.jamani hodiiiii hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jikate!
 
Jamvi liko wazi karibu sana upate kahawa kabla ya kuanza mijadala na watu makini humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…