Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Tuwekane sawa katika hili wadau. Ni vito, viagra, au kuna zaidi?
mawzo ya kipuuzi hayo,tembo mnaowengi kwahiyo bora watz tuendelee kuibiwa.wewe slaa na mkopo wake vinawahu nni watz kwa ujumla??mkuu wewe bado upo huku?
wenzio tunalia na dr Slaa amejikopesha pesa za ruzuku,
mamilioni yanakopeshwa achana na hizo mbona tunatembo wengi sana!
mawzo ya kipuuzi hayo,tembo mnaowengi kwahiyo bora watz tuendelee kuibiwa.wewe slaa na mkopo wake vinawahu nni watz kwa ujumla??
Henge kwa iyo zile t.shirt na kanga mnazogawa kwenye mikutano yenu ni matokeo ya mauaji ya tembo wetu??wanalalamika wakati sisi ccm tunajua tembo zipo kabao na utajiri wa kutishwa ndo maana huwa tunagawana tuu!
Mkuu naona wengi hamkifahamu chama cha ccm, waTZ hawana nguo tutawagawia kanga na t shirt na huwa wanaridhika na kuacha kelele, Umemsahau Seif hv umewahi imsikia tena baada ya kupewa benzi!Henge kwa iyo zile t.shirt na kanga mnazogawa kwenye mikutano yenu ni matokeo ya mauaji ya tembo wetu??
Mkuu naona wengi hamkifahamu chama cha ccm, waTZ hawana nguo tutawagawia kanga na t shirt na huwa wanaridhika na kuacha kelele, Umemsahau Seif hv umewahi imsikia tena baada ya kupewa benzi!
mkuu tukigawa suruali au sketi tutaandika wapi jina kubwa la CCM?mkuu sasa mbona huwa mnawagawia t.shirt pekee bila suruali zake ama sketi, au mnataka waje kwenye mikutano yenu uchi??
sasa huyu Al...babu anaingilika kweli?Waweza mwona Bwana mmoja anaitwa Kinana anafanyia kazi kampuni moja inaitwa CCM, nafikiri anaweza kukusaidia.
Hata mkihamisha mada ukweli bado unabaki pale kuwa serikali ya ccm kwa kushirikiana na kampuni ya Kinana wanashirikiana kumaliza tembo wetu!!mkuu wewe bado upo huku?
wenzio tunalia na dr Slaa amejikopesha pesa za ruzuku,
mamilioni yanakopeshwa achana na hizo mbona tunatembo wengi sana!
Waweza mwona Bwana mmoja anaitwa Kinana anafanyia kazi kampuni moja inaitwa CCM, nafikiri anaweza kukusaidia.
mkuu hatujabisha lakini hili si lamuhimu kwa sasa wakati watuwanakopa mili 20 huko!sasa huyu Al...babu anaingilika kweli?
Hata mkihamisha mada ukweli bado unabaki pale kuwa serikali ya ccm kwa kushirikiana na kampuni ya Kinana wanashirikiana kumaliza tembo wetu!!
Mh!!! Milioni ishirini zilizorudishwa wakati kuna mabilioni kutokana na tembo ambao uhai wao umeshapotea? :angry::angry:mkuu hatujabisha lakini hili si lamuhimu kwa sasa wakati watuwanakopa mili 20 huko!
Tanzania loses 30 elephants to poaching every day, a shocking 10,000 every year, the government says the situation cannot effectively reverse for lack of resources.
Huyu dentist hatari. Wateja wake wote huishia na kifo. Hafai!Kinana yupi wa CCM unamsema? Yule DENTIST wa TEMBO wa Tanzania? Duhhh!!!!
ndo ccm sasa NA HUU NDO UBABE WETU!Mh!!! Milioni ishirini zilizorudishwa wakati kuna mabilioni kutokana na tembo ambao uhai wao umeshapotea? :angry::angry: