Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,634
- 188,899
Wataje kamanda jf where we dare to talk openly.
Captain nasi tuunde genge letu la watu wasiojulikana.Hii hatari sana! We uko peke yako wenzio wanaambiana wakutupie dongo lipi... Sisi tusiojulikana humu afya yetu IPO mashakani.
Kwanini wewe usiwe mwenyekiti?Captain nasi tuunde genge letu la watu wasiojulikana.
Mwenyekiti ajitokeze wajumbe tuje
kunasababu zinaweza kusababisha kuwa na ID zaid ya moja, sababu mojawapo nipale unapotaka kufanya jambo flan hiv ??&&&!!$$????!! hiyo ndo sababu kubwa pia hapa wengine wachekechaji A.K.A chekecha.Halafu hii tabia siipendi na naichukia sana Mkuu. Hivi ni kwanini Watu hawapendi tu kuwa na ID moja na iliyotukuka kama Mimi GENTAMYCINE ambae nina hii hii tu tokea nijiunge humu JF na wala sioni sababu ya kuwa na ID nyingine? Wanaona raha gani kuwa na multiple ID's?
Wananikera kweli Mkuu.
ukiona mwanaume anashobo sana na post za wanawake,ujue ndo wale ambao wamezoea kukaa sana na madem,hata kutongoza hawawezi(nyuki wa mashineni) na mwisho wa siku wanaishiaga kushika ukutaKuna ID pia zinajipendekeza sana ktk post za madada wa mjini, yani hawa maduu hata wakiongea shit wenyewe nao wana tiririka shit hata Kama yaliyomo yamo.
Mi nafahamiana na members zaidi ya 70. Wengi kati yao ni members wa Dar na Arusha.Wapo baadhi Nina juana nao ni washikaji zangu wa faida
Sijui tuitaneAiseeee
Nalijua hilo na wanakuheshimu kweli kweliMi nafahamiana na members zaidi ya 70. Wengi kati yao ni members wa Dar na Arusha.
Nimeshaonana nao na sijawahi kujuta kufahamiana nao. Zaidi ya nusu ya hao wameshafika mpaka nyumbani kwangu, nimeshashirikiana nao katika matukio ya kijamii kama harusi na misiba.
Kuna members kama 30 nilionana na kufahamiana nao mara moja tu kwenye JF get together party...
kwahiyo mkiona naitwa babu mjue ni heshima ninayostahili...
HahahaSijui tuitane
Nakusalimu dada
HahahaNalijua hilo na wanakuheshimu kweli kweli
naunga mkonoCaptain nasi tuunde genge letu la watu wasiojulikana.
Mwenyekiti ajitokeze wajumbe tuje
Nami nakuona SHahaha
Nakuona
Genge lipatotea kusikojulikana kichwa kisichojulikana hiki.Kwanini wewe usiwe mwenyekiti?
HayaNami nakuona S
Sio kuwa wanaambiana, unaweza kushambuliwa na mtu mmoja, lakini kwa ID hata tano tofauti!Hii hatari sana! We uko peke yako wenzio wanaambiana wakutupie dongo lipi... Sisi tusiojulikana humu afya yetu IPO mashakani.
Kama nani na nani??Nauliza tu jamani, maana nahisi kuna kundi la watu wakivamia Uzi wako kama wanaambiana vile wachangie nahisi wana-discuss kwanza!