Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Halafu hii tabia siipendi na naichukia sana Mkuu. Hivi ni kwanini Watu hawapendi tu kuwa na ID moja na iliyotukuka kama Mimi GENTAMYCINE ambae nina hii hii tu tokea nijiunge humu JF na wala sioni sababu ya kuwa na ID nyingine? Wanaona raha gani kuwa na multiple ID's?

Wananikera kweli Mkuu.
kunasababu zinaweza kusababisha kuwa na ID zaid ya moja, sababu mojawapo nipale unapotaka kufanya jambo flan hiv ??&&&!!$$????!! hiyo ndo sababu kubwa pia hapa wengine wachekechaji A.K.A chekecha.
 
Kuna ID pia zinajipendekeza sana ktk post za madada wa mjini, yani hawa maduu hata wakiongea shit wenyewe nao wana tiririka shit hata Kama yaliyomo yamo.
ukiona mwanaume anashobo sana na post za wanawake,ujue ndo wale ambao wamezoea kukaa sana na madem,hata kutongoza hawawezi(nyuki wa mashineni) na mwisho wa siku wanaishiaga kushika ukuta
 
Wapo baadhi Nina juana nao ni washikaji zangu wa faida
Mi nafahamiana na members zaidi ya 70. Wengi kati yao ni members wa Dar na Arusha.

Nimeshaonana nao na sijawahi kujuta kufahamiana nao. Zaidi ya nusu ya hao wameshafika mpaka nyumbani kwangu, nimeshashirikiana nao katika matukio ya kijamii kama harusi na misiba.

Kuna members kama 30 nilionana na kufahamiana nao mara moja tu kwenye JF get together party...

kwahiyo mkiona naitwa babu mjue ni heshima ninayostahili...
 
Nalijua hilo na wanakuheshimu kweli kweli
 
Hii hatari sana! We uko peke yako wenzio wanaambiana wakutupie dongo lipi... Sisi tusiojulikana humu afya yetu IPO mashakani.
Sio kuwa wanaambiana, unaweza kushambuliwa na mtu mmoja, lakini kwa ID hata tano tofauti!
Mtu anaanzisha thread fulani, zikafuata comment hata nne za kumuunga mkono, kumbe ni huyo huyo mmoja!
 
hivi hawa wanaopiga watu BAN hawawezi kuzuia IP Adress moja isiwe na account mbili??

hii itasaidia kupunguza fake ID's

kuna jamaa ana majina ya kidevil devil mara anajiita 666, mara HR666 alianzisha thread chit chat akawa anajijibu mwenyewe...
 
Back
Top Bottom