Humphrey Polepole unaamaanisha nini kusema hivi?

Wewe ni utopolo tu. Wewe wakati ulee ulikuwa upande wa nyumbu naona sasa eti umerudi CCM inaonekana ndiyo nyinyi mliokuwa majizi ndani ya CCM awamu ya tano mkavurushwa sasa mnajifanya kurudi. Hamtafauru hakuna kuiibia CCM tena!
Sijawahi kuwa CDM....

Miaka yote nilimsapoti JPM...umesahau ?!!!

MADARASA ya itikadi yanatutaka UTII kwa viongozi wetu wakuu.....ninyi ndio mliokuja CCM kwa ajili ya JPM...hayupo sasa....ila chama kipo na kitakuwepo hata baada ya CHIFU HANGAYA.......

SIEMPRE CCM🙏
 
Angalia threds na comments zako za nyuma.
 
Nawasalimu kwa jina la Tanzania

Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile

hivyo hakuna awamu ya sita ,Tusiwe tunachanganya.

SWALI?
Wataalam humu ndani naombeni nielemishwe "kwa hiyo anachosema POLEPOLE ni sahihi " kwamba hii serikali anayoongoza mama ni ya Awamu ya Tano na si ya Sita na tumhesabie awamu ya sita 2025?

Na je?

Ikitokea Mama asigombee awamu ya 2025 awamu ya tano itahesabika imetawala kwa miaka 10 ( vipindi vyote viwili)

Kwa unyenyekevu naomba kuelimishwa maana kipindi hiki Tunachanganywa sana jmn!!! kila mtu ana lake jambo tunashindwa kujua which is which.

karibuni !
View attachment 2033387
Iwe awamu ya 5 au ya 6, what is the difference? Yaani tuunaacha kujadili mambo ya maana- kwa mfano, jinsi gani ya kujikwamua na umaskini wa kujitakia unaotukabili kama Taifa, tunabaki tunajadili huu utopolo wa awamu za uongozi?
 
Jpm aliposhupaza shingo pale aliposhauriwa na deep state !Deep state wakala kichwa !huelewi nini sasa hapo????mbona yako wazi!walianzia kwa Lupaso,wakaja kijazi wakamaliza kazi kwa jiwe!!!Na hapo huelewi?na juzi hapa wakamalizia masalia mfugale fly over na Kwandikwa!!we huoni nchi inawenyewe hii???We subiri!na wakiona 2025 Samia hafai wanamuweka kapuni kwa skendo yoyote ile!!!
Rais ajaye ni nani mkuu?? Magufuli aliikwaza nini deep state. Kwanini ilikuwa lazima Kwandikwa afariki wakati wangeliweza kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mama awe makini tu.

Kwa kuongozwa na Kikwete hawezi kuwa makini hata siku moja!!! Ataambiwa awasikilize wafanya biashara ndio nchi itaendelea; si mmeona wapigaji wa sukari walivyomuingai mpaka anakosa muelekeo wa kuwapatia ajira vijana!!!

Nchi kujitegemea kwa mahitaji yake ndio msingi wa maendeleo mama!!
 
Ndg.Polepole anatutia aibu sana....

Amekuwa mropokaji asiye na FACTS bali HISIA zake za "obsessive compulsions" tu......

Polepole akubali zama hizi ni mpya....

La sivyo aendelee tu KUJITEKENYA
.. CCM oyeeeeee
 
Pengine kuiita awamu ya 6 ni kutaka kujitenga na maovu ya mtangulizi wake, lakini na yeye alikuwepo
Upuuzi mtupu, anawezaje kujitenga kama sio unafiki uliopitiliza. Wananchi sio wajinga kiwango hicho. Sio yeye aliyezunguka huko na kule akisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja?.
 
Nawasalimu kwa jina la Tanzania

Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile

hivyo hakuna awamu ya sita ,Tusiwe tunachanganya.

SWALI?
Wataalam humu ndani naombeni nielemishwe "kwa hiyo anachosema POLEPOLE ni sahihi " kwamba hii serikali anayoongoza mama ni ya Awamu ya Tano na si ya Sita na tumhesabie awamu ya sita 2025?

Na je?

Ikitokea Mama asigombee awamu ya 2025 awamu ya tano itahesabika imetawala kwa miaka 10 ( vipindi vyote viwili)

Kwa unyenyekevu naomba kuelimishwa maana kipindi hiki Tunachanganywa sana jmn!!! kila mtu ana lake jambo tunashindwa kujua which is which.

karibuni !
View attachment 2033387
Hakuna awamu ya 6?
 
Rais ajaye ni nani mkuu?? Magufuli aliikwaza nini deep state. Kwanini ilikuwa lazima Kwandikwa afariki wakati wangeliweza kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwandikwa alitoa siri za nchi!yaani ule unyeti wa nchi ukawa nje!Jiwe alitaka abadili mihula ya utawala kuwa miaka saba hapo 2023 angeanza upya kutawala kwa katiba mpya kwa miaka 14 zaidi!!!!!Sina info hasa za ndani Bali naunganisha codes!!Inawezekana Kwandikwa alitoa siri kuhusu kifo cha jiwe au Alikosea kukubaliana na jiwe kuingiza Imbonerakure wa kirundi walioua sana kule Zanzibar!!!RAISI AJAYE KWANGU NI MWINYI JUNIOR BAADA YA MUHULA MOJA KULE ZENJIBAR!!NAUNGANISHA CODES TU MKUU!WASIJE KUNIDAKA KISA CODES ZANGU TU!MI BADO MDOGO!!
 
Duuuh sawa mkuu

Duh. hii nchi ina siri ssna

kwahyo huyo ( waziri kuandikiwa) Alimalizwaje na watu wasiojulikana??
 
Kinachoamua awamu ni Rais aliekuwepo madarakani sio chama wala serikali
Pole pole amesahau kuwa Alhaj Jumbe alipokwa nyadhifa zake zote akapewa Mwinyi,awamu ikabadilika,
Karume aliuwawa,akapewaJumbe
Hakuna sehemu katibu wetu mstaafu wa uenezi amelikataa hilo,ila kwa mama Samia povu linamtoka
 
Nawasalimu kwa jina la Tanzania

Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile

hivyo hakuna awamu ya sita ,Tusiwe tunachanganya.

SWALI?
Wataalam humu ndani naombeni nielemishwe "kwa hiyo anachosema POLEPOLE ni sahihi " kwamba hii serikali anayoongoza mama ni ya Awamu ya Tano na si ya Sita na tumhesabie awamu ya sita 2025?

Na je?

Ikitokea Mama asigombee awamu ya 2025 awamu ya tano itahesabika imetawala kwa miaka 10 ( vipindi vyote viwili)

Kwa unyenyekevu naomba kuelimishwa maana kipindi hiki Tunachanganywa sana jmn!!! kila mtu ana lake jambo tunashindwa kujua which is which.

karibuni !
View attachment 2033387
Upepo unamuendea vibaya sn
 
Kinachoamua awamu ni Rais aliekuwepo madarakani sio chama wala serikali
Pole pole amesahau kuwa Alhaj Jumbe alipokwa nyadhifa zake zote akapewa Mwinyi,awamu ikabadilika,
Karume aliuwawa,akapewaJumbe
Hakuna sehemu katibu wetu mstaafu wa uenezi amelikataa hilo,ila kwa mama Samia povu linamtoka
Haamini kilichotokea
 
Back
Top Bottom