Humphrey Polepole unaamaanisha nini kusema hivi?

Humphrey Polepole unaamaanisha nini kusema hivi?

Ni awamu ya sita kwa sababu kipindi cha pili awamu ya tano hakikufikia nusu ya muda wake kwa hiyo hakina sifa ya kuitwa awamu kwa maana hiyo Rais aliyepo kaanza awamu ingine ya sita
Hizo sifa za huu ufafanuzi wako zimeandikwa wapi utuletee nasisi tusome huo ufafanuzi.
 
Unamkumbuka Delila ? Unamkumbuka samson?wa kweli bibilia? Unamkumbuka JPM ? Unamkumbuka SSH? Ukisoma hiyo historia utaelewa yaliyotokea.
 
Pengine kuiita awamu ya 6 ni kutaka kujitenga na maovu ya mtangulizi wake, lakini na yeye alikuwepo
Mtangulizi aliguwa hagusiki, na ukijifanya unataka kujiuzulu Majambazi yake yalikuwa yanakushughulikia ipasavyo, Kiboko yake ilikuwa Covid tu, imemuondoa kwa aibu sana! Kwa waTZ ambao tupo nje tulikuwa tunaulizwa nyie ndiyo nchi ambayo Rais wenu alikuwa anaitukana Covid na ikamuua?
 
1. Ni Mara ya kwanza Rais Kufariki Akiwa madarakani
2. Ni Mara ya kwanza katibu mkuu kiongozi kufariki akiwa madarakani
3. Ni Mara ya kwanza katibu mkuu kiongozi kuteuliwa na kukaa madarakani siku 30 na kuondolewa
4. Ni Mara ya kwanza waziri wa fedha kalazwa hospital na kukutana na katibu mkuuu kiongozi naye kalazwa huko huko
5. Ni Mara ya kwanza kuwa na Rais ambaye mwanza wake haonekani wala hajulikani aliko kuchangia misaada ya kijamii Mfano Watoto yatima
 
Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Mwenye nchi ni Rais na Mkiti wa chama, nguvu zake ni kubwa mnoo! Kwanza huyo Polepole siyo CCM, Magufuli alimpandisha tu kiajabu, yeye na Bashiru hawana msingi wala watu wowote nchini wala chamani, na siyo wanasiasa wazuri kama tu alivyokuwa Baba yao. Wenye nchi kwa sasa ni wengine kabisa, na nguvu zao zilizoporwa kiubabe na akina Polepole zimerudi, ndiyo maana wanatamba kwa sasa, wakati Polepole yupo busy kuhojiwa Bona TV, Na kwa unafiki alioufanya awamu ya 5 hata wapinzani ambao walikuwa wakimsapoti kipindi cha madai ya katiba mpya hawana time naye kwa sasa! BTW akiulizwa kuhusu madai ya katiba kwa sasa anasemaje?
 
Mlio karibu na Pole pole mshaurini akubaliane na ukweli kuwa zama zimebadilika na hivyo akae kimya sasa anapoelekea watu wataanza kumpuuza.

Kila mtanzania ana uhuru wa kujieleza Na uhuru wa kutoa elimu kwa Watanzania wengine! Ndo mana hata wewe umeweza kuchangia hapa, bila shaka kakusoma Na kukusikia!
 
Kila mtanzania ana uhuru wa kujieleza Na uhuru wa kutoa elimu kwa Watanzania wengine! Ndo mana hata wewe umeweza kuchangia hapa, bila shaka kakusoma Na kukusikia!
Ni kweli kabisa ajaribu kuangalia hapo kabla watu waliokuwa na mlengo kama wake walikuwa wakiwatendea nini?

Ni ushahidi tosha kuwa huyu Mama ana hofu ya Mungu, kwasababu anachokifanya Pole Pole kama angekifanya enzi zile pengine leo tungekuwa na kampeni ya #Bringback....aache makasiriko atulie.
 
Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Hata wawe smart vipi... Kwa Katiba ya Tz raisi anamamlaka makubwa Sana na hakuna a naweza mu over power raisi tena akiamua atumie makali yake... Hao wanajichosha tu, wa najarbu lakini wajue Hawana io nguvu hata chembe
 
Ni kweli kabisa ajaribu kuangalia hapo kabla watu waliokuwa na mlengo kama wake walikuwa wakiwatendea nini?

Ni ushahidi tosha kuwa huyu Mama ana hofu ya Mungu, kwasababu anachokifanya Pole Pole kama angekifanya enzi zile pengine leo tungekuwa na kampeni ya #Bringback....aache makasiriko atulie.
Unatetea ugali wako. Jiulize kama ulikuwa hujaajiriwa ni nini Hata ya maisha yako kwa awamu hii?
 
Wakuu kwahyo huyu mama yetu anataka kujitenga na madudu ya JPM ???

naulizaa
 
Anazidi kuvurugwa masikini sasa anashindwa kabisa kuzuia hisia zake za chuki dhidi ya Mama Samia na anatamani aondoke haraka labda atapatikana mwingine atakayekuwa anadhulumu watu halafu wao kina Polepole wakawa wanafurahia madaraka huku wakiwadhihaki wananchi na ma v8.
Sasa Ajue wazi huyo mama bado yupo sana tu hadi 2030,yeye ashushe pumzi arelax vinginevyo atakufa kihoro bure.
 
Ukizingatia Katiba yetu imemtambua raisi na serikali yake anayoiunda inayoweza tawala kwa kipindi cha miaka mitano na kuingia kwene uchaguzi Lakin pia imeeleza uwezekano wakupatikana raisi mwingne hata kabla ya miaka mitano kuisha... Hivo awamu ni mtu(raisi) anaetawala madaraka ya serikali, iwe mwaka mmoja au miaka kumi... Nyerere kawatala zaidi ya miaka ishirini ila ikaitwa awamu ya kwanza, Ali hassan mwinyi katawala zanzibar ikaitwa awamu ya 4....hivo awamu ni tenure(muda) aliotawala raisi akiondoka yy akaja mwingne anakuwa ni raisi wa muda mwingne(awamu)
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ndg.Polepole anatutia aibu sana....

Amekuwa mropokaji asiye na FACTS bali HISIA zake za "obsessive compulsions" tu......

Polepole akubali zama hizi ni mpya....

La sivyo aendelee tu KUJITEKENYA 🤣🤣
 
Ndg.Polepole anatutia aibu sana....

Amekuwa mropokaji asiye na FACTS bali HISIA zake za "obsessive compulsions" tu......

Polepole akubali zama hizi ni mpya....

La sivyo aendelee tu KUJITEKENYA 🤣🤣
Wewe ni utopolo tu. Wewe wakati ulee ulikuwa upande wa nyumbu naona sasa eti umerudi CCM inaonekana ndiyo nyinyi mliokuwa majizi ndani ya CCM awamu ya tano mkavurushwa sasa mnajifanya kurudi. Hamtafauru hakuna kuiibia CCM tena!
 
Samahani Ndugu zangu..
Kwa kweli saa nyingine Mama unatu udhi raia wako.Tulitegemea ungepiga chini wale woote waliokuwa na Shujaa ukaanza na watu wak😵na sasa huyo Bw Polepole anavyo bwabwaja.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom