magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,338
Wanabodi, Sina hakika kama Humphrey Polepole ni member hapa JF.
Siku chache zilizopita wakati UKAWA wakiwa kwenye mchakato wa kuteua mgombea wa urais, alinukuliwa akisema; UKAWA kama wanataka kushinda uchaguzi, watafute mgombea mwingine tofauti na Prof. Lipumba na Dr.Slaa. alidai hao hawana mvuto tena machoni pa wengi.
UKAWA ni kama walizingatia maoni yake, wameteua mtu mwenye mvuto zaidi kuliko hata mgombea wa CCM.
Ningependa kusikia maoni yake baada ya uteuzi wa Lowassa ana maoni gani! Kama hayupo humu jukwaani, aliye karibu nae atuitie tupate maoni ya kijana mwenzetu mwenye fikra mpya.
Nawasilisha..

Last edited by a moderator: