Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

Wanabodi, Sina hakika kama Humphrey Polepole ni member hapa JF.

Siku chache zilizopita wakati UKAWA wakiwa kwenye mchakato wa kuteua mgombea wa urais, alinukuliwa akisema; UKAWA kama wanataka kushinda uchaguzi, watafute mgombea mwingine tofauti na Prof. Lipumba na Dr.Slaa. alidai hao hawana mvuto tena machoni pa wengi.

UKAWA ni kama walizingatia maoni yake, wameteua mtu mwenye mvuto zaidi kuliko hata mgombea wa CCM.

Ningependa kusikia maoni yake baada ya uteuzi wa Lowassa ana maoni gani! Kama hayupo humu jukwaani, aliye karibu nae atuitie tupate maoni ya kijana mwenzetu mwenye fikra mpya.

Nawasilisha..
Tena pana tahadhari aliitoa ya "UBINAFSI". Aliwataka waache tabia hiyo.
 
Mi najua wewe huwa unajidai tuu ni ccm kwa ajili ya usalama wa kucha na meno yako.
 
Pole pole alistahili jimbo kwani hicho kichwa kilistahili kueko Dom na si wale ndioooo. Nashauri Rais atakayeingia amteue tunakihitaji hicho kichwa
 
Ukawa ni muungano wa watu makini kutoka Chadema, watu makini kutoka CUF, watu makini kutoka NCCR, watu makini kutoka CCM, watu makini kutoka NLD, watu makini kutoka vyama vingine na watu makini wasiokuwa na vyama. CCM lazima iondoke Oktoba hata ikibidi kwa goli la mkono. Hakuna muda mufuaka kama huu. Hii nafasi haitajirudi tena. CCM isipoondoka amani nchini mwetu itapotea milele. Magufuli hata maliza miaka mitano. Nchi hii haitawaliki tena kwa mfumo uliopo. Asilimia kubwa ya wananchi wana hasira na maisha wanayoishi. Wakiendelea kubanwa watalipuka tu. Tutakuwa kama nchi zingine za Afrika zenye vita za wenyewe kwa wenyewe zisizoisha. Viashiria viko vingi mwenye macho haambiwi tazama. Muda wa kubembelezana umeshapita. Ili kuepusha shari lazima tusonge mbele.

sheikhe usidanganye umma. ukawa ni muungano wa wanaarusha na wankilimanjaro wakisaidia na vipofu wa akili wengine toka mikoa mingine. kodi mkusanye nyie,kodi mkwepe nyie, ufisadi mwingi pesa nyingi zaenda kaskazini. leo mwaja na kibwagizo cha kuingia ikulu kwa kuuchukia ufisadi. danganyeni wajinga
 
Ukisikia wakati wa UKOMBOZI basi ndio sasa hatutapata wakati mwingine kama huu kwani viashilia vyote vinaonyesha kama ifuatavyo:-

1. Kua na Muungano Thabit wa Vyama vya Upinzani.
Tanzania haijawahi kupata Uzoefu huu wa angarau vyama vikuu vya upinzani kuungana kama ilivyotokea sasa kwa UKAWA, hii ni kiashilio kikubwa kua SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA.

2.Chama Tawala (CCM) Kupoteza Umoja Wao
Tumeona Chama Tawala kimepoteza Umoja wao na Mshikamano wao ambao ndo ulikua silaha kubwa kushinda Upinzani kwa Asilimia kubwa.

3.Chama Tawala Kukimbiwa na Watu Mashuhuli (Lowassa n,k)
Ni kwa mara ya kwanza Tanzania tunashuhudia CCM ikikimbiwa na Watu Mashuhuli kama Lowassa ambae aliwahi kua hadi Waziri Mkuu na pia Watu mbalimbali ambao walikua Key members ndani ya CCM na pia CCM inategemewa kukimbiwa na wtu wengi zaidi kadri muda unavyokwenda.

4. Wasaliti Wa Upinzani Kukimbia Kishindo Cha Harakati ya Mabadiliko (Lipumba)
Ni kwa mara ya kwanza pia Tanzania kushuhudia Wasaliti wa Upinzani kuogopa Kishindo cha Mabadiriko ya Fikra na kukimbia kishindo hicho kama alivyofanya Lipumba kuondoka CUF lakini bado Chama kinasonga Mbele tena bila hata kuteteleka.

5. Kususia Harakati za Kweli (Dr silaa)
Popote kwenye Harakati za kweli huwa kuna watu muhimu Kususia mabadiliko ya kweli kama ilivyo kwa Dr Silaa. Hii sio nzuri lakini haina budi kutokea kwani ndio viashilio kua Hatupo mbali na UKOMBOZI. Tumemuelewa Dr Silaa na tunaomba arudi tumalizie Safari.

"KWELI UKOMBOZI UMEFIKA"

Hakika ukombozi ni sasa tuzidi kupambana na hawa waliozoea kula pasipokunawa
 
ametimiza tu haki yake kikatiba sidhani km kuna impact kubwa kwa yeye kutoka UKAWA
What i know pipo have changed and wamechoshwa na ilani na mikakati ya kuja tekelezwa mwaka 2025!

Hajatoka UKAWA amejivua uenyekiti.
 
Ni kujidanganya kudhani kua kuondoka Kwa pro. Lipumba CUF na kuamua kua mwanachama wa Kawaida, na pia Dr. Slaa hakutakua na athari yoyote Kwa Ukawa, labda kama mtu alikua hajui nafasi ya Slaa ama Lipunga katika vyama vyao, ama ukawa Kwa ujumla. Kwa taarifa ni kwamba kuna watu wengi sana wako nyuma ya viongozi hawa, na labda mapenzi yao Kwa ukawa yalitokana na mapenzi ya mmoja Kati ya viongozi hao, kuondoka Kwao kunawaacha wanachama njia panda, wapo watakaodikiria na kuziamia sababu wazotoa zilizowafanya waondoke, na kuamua kumuunga mkono, wapo watakaoamua kubaki katika imani Ingawa nyoyo zao zitabaki na shaka , Lakini wapo watakaoamua kutopiga kura Kabisa Kwa kuona ulaghai unaofanywa na vyama vya siasa. Kumbuka wingi huanza na moja, hivyo athari ya kukosa kura moja ni kubwa sana, na mtu naweza kutangazwa kua mshindi Kwa tofauti ya kura moja tu.

Utabiri ulishafanyika nyie mnaweweseka nini? Wataondoka asilimia 6 na watakuja asilimia 24 na hyo ndio inaitwa opportunity cost mara baada ya kufanya cost - benefit analysis
 
Ni kujidanganya kudhani kua kuondoka Kwa pro. Lipumba CUF na kuamua kua mwanachama wa Kawaida, na pia Dr. Slaa hakutakua na athari yoyote Kwa Ukawa, labda kama mtu alikua hajui nafasi ya Slaa ama Lipunga katika vyama vyao, ama ukawa Kwa ujumla. Kwa taarifa ni kwamba kuna watu wengi sana wako nyuma ya viongozi hawa, na labda mapenzi yao Kwa ukawa yalitokana na mapenzi ya mmoja Kati ya viongozi hao, kuondoka Kwao kunawaacha wanachama njia panda, wapo watakaodikiria na kuziamia sababu wazotoa zilizowafanya waondoke, na kuamua kumuunga mkono, wapo watakaoamua kubaki katika imani Ingawa nyoyo zao zitabaki na shaka , Lakini wapo watakaoamua kutopiga kura Kabisa Kwa kuona ulaghai unaofanywa na vyama vya siasa. Kumbuka wingi huanza na moja, hivyo athari ya kukosa kura moja ni kubwa sana, na mtu naweza kutangazwa kua mshindi Kwa tofauti ya kura moja tu.

Mkuu Lipumba na Dr wana wafuasi ndio. Hata mimi ni mfuasi wa Dr. Lakini usitegemee wafuasi wa Lipumba au Slaa wataenda CCM kwa kuwa Lipumba na Dr. wameacha siasa. UKAWA ndo option iliyobaki kwa mpenda mabadiliko. Usibaki UKAWA uende wapi sasa? CHAUSTA au ACT kwa tawi la CCM?
 
Shida ya vyama hivi njaa binafsi za viongozi ni shida, maana wanalainishwa kirahisi mno. Mtu anabadiri fikra iliyojengwa miaka kumi na sita kwa hoja dhaifu badala ya kusema ukweli na uzalendo ulivyo mtuma. Hii inaumiza nchi
 
Mkuu Lipumba na Dr wana wafuasi ndio. Hata mimi ni mfuasi wa Dr. Lakini usitegemee wafuasi wa Lipumba au Slaa wataenda CCM kwa kuwa Lipumba na Dr. wameacha siasa. UKAWA ndo option iliyobaki kwa mpenda mabadiliko. Usibaki UKAWA uende wapi sasa? CHAUSTA au ACT kwa tawi la CCM?

Hayo ni mawazo yako binafsi!

Nikikuambia nilikuwa mpenzi mkubwa wa CHADEMA, lakini toka fisadi Lowasa anunue chama nimeamua kuamia magamba utakataa?
 
Mi najua wewe huwa unajidai tuu ni ccm kwa ajili ya usalama wa kucha na meno yako.
Mkuu The Bleiz mbona unanihukumu bila kuniuliza!!?? Me siwezi kuwa ccm mkuu,sijawahi kuipigia kura ccm tangu nianze kupiga kura mwaka 1995.
 
Last edited by a moderator:
Ni kujidanganya kudhani kua kuondoka Kwa pro. Lipumba CUF na kuamua kua mwanachama wa Kawaida, na pia Dr. Slaa hakutakua na athari yoyote Kwa Ukawa, labda kama mtu alikua hajui nafasi ya Slaa ama Lipunga katika vyama vyao, ama ukawa Kwa ujumla. Kwa taarifa ni kwamba kuna watu wengi sana wako nyuma ya viongozi hawa, na labda mapenzi yao Kwa ukawa yalitokana na mapenzi ya mmoja Kati ya viongozi hao, kuondoka Kwao kunawaacha wanachama njia panda, wapo watakaodikiria na kuziamia sababu wazotoa zilizowafanya waondoke, na kuamua kumuunga mkono, wapo watakaoamua kubaki katika imani Ingawa nyoyo zao zitabaki na shaka , Lakini wapo watakaoamua kutopiga kura Kabisa Kwa kuona ulaghai unaofanywa na vyama vya siasa. Kumbuka wingi huanza na moja, hivyo athari ya kukosa kura moja ni kubwa sana, na mtu naweza kutangazwa kua mshindi Kwa tofauti ya kura moja tu.
Mkuu ni ukweli usiopingika kuwa lazima chama kipate mtikisiko kwa kuondokewa na kiongozi wake wa juu. Lakini cha msingi ni ukubwa wa mtikisiko na athari zake. Kiuhalisia UKAWA Haiwezi kupata mtikisiko mkubwa wa kuuathiri kwa kuondokewa na Lipumba na hata kama itatokea kwa Dr. Slaa.

Uhalisia ni kuwa wananchi walivutiwa na UKAWA kwa namna vyema vilivyoshirikiana pale bungeni kuikataa katiba mpya na wala haikuwa kwa kauli za Lipumba juu ya katiba mpya.

Hivyo wananchi waliowengi hawakufuata mtu kuunga mkono UKAWA bali ni hoja na dhumuni la UKAWA.

Hivyo viongozi wa juu wanaojitoa, wananchi tunachukulia kana kwamba wametangulia mbele ya Mungu ambalo ni tukio tusiloweza kulimudu wanachama kumzuia.
 
Kwa kweli mimi sikufata upepo wa mtu ndani ya ukawa bali malengo ya ukawa.So hata viongozi wote wakiondoka ukawa itabaki kuwa mali ya wataka mabadiliko.Movement ya kiraia...
 
Wanaoshindwa mambo magumu ndo uwa wanajiuzulu uongoz! lowasa alishndwa kuendelea kuitwa mwizi mloo wa madalaka akajiuzulu lipumba kaona ikishnda ukwa ni ushnd wa chadema sasa atakosa nafasi ya uongoz koz anachokitaka kfanyike kmeshndikana amna aja ya kujisumbua!
 
sheikhe usidanganye umma. ukawa ni muungano wa wanaarusha na wankilimanjaro wakisaidia na vipofu wa akili wengine toka mikoa mingine. kodi mkusanye nyie,kodi mkwepe nyie, ufisadi mwingi pesa nyingi zaenda kaskazini. leo mwaja na kibwagizo cha kuingia ikulu kwa kuuchukia ufisadi. danganyeni wajinga
wewe ndiye mpumbavu Sana bora mjinga anaelimika na kichwa chako kimejaa kamasi! Siwezi kukuchagua CCM maana wewe ni mwizi unafuga mafisadi, unauwa wanaolilia haki zao, unapindisha sheria, umewafunga mashekhe wangu bila hatia! Sitakuchagua na sikupi kura yangu
 
LIKE Ukurasa wake wa fb mkuu.. kaahidi jana kuwa kuanzia wiki ijayo ataweka mawazo yake HADHARANI
 
Back
Top Bottom