Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

UKIWA GAMBA hata ijitahidi vipi kuvaa gwanda LITAKUPWELEPWETA tuu!!!
Hayo ni mawazo yako binafsi!

Nikikuambia nilikuwa mpenzi mkubwa wa CHADEMA, lakini toka fisadi Lowasa anunue chama nimeamua kuamia magamba utakataa?
 
Back
Top Bottom