DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Hivi kwanini Professor Lipumba kaamua kujiuzulu nafasi yake?
Kuna kitu hapa!
Alishtukia Mbowe kavuta 10bn ili amchukue Lowassa bila masharti
Hivi kwanini Professor Lipumba kaamua kujiuzulu nafasi yake?
Kuna kitu hapa!
Amepewa kazi maalum na CCM na ameishakwenda kuishi nje ya nchi kwa gharama za CCM.
Hivi kwanini Professor Lipumba kaamua kujiuzulu nafasi yake?
Kuna kitu hapa!
Alishtukia Mbowe kavuta 10bn ili amchukue Lowassa bila masharti
Aende tu ni utashi wake ika kama kuna chochote alichopokea kutoka upande wa pili kuwasaliti wenzake Malipo ni hapa hapa duniani.
Hivi kwanini Professor Lipumba kaamua kujiuzulu nafasi yake?
Kuna kitu hapa!
Hivi kwanini Professor Lipumba kaamua kujiuzulu nafasi yake?
Kuna kitu hapa!
Kweli? Au ni mawazo yako tu?
Vipi kuhusu Dr.Slaa?
Ni kujidanganya kudhani kua kuondoka Kwa pro. Lipumba CUF na kuamua kua mwanachama wa Kawaida, na pia Dr. Slaa hakutakua na athari yoyote Kwa Ukawa, labda kama mtu alikua hajui nafasi ya Slaa ama Lipunga katika vyama vyao, ama ukawa Kwa ujumla. Kwa taarifa ni kwamba kuna watu wengi sana wako nyuma ya viongozi hawa, na labda mapenzi yao Kwa ukawa yalitokana na mapenzi ya mmoja Kati ya viongozi hao, kuondoka Kwao kunawaacha wanachama njia panda, wapo watakaodikiria na kuziamia sababu wazotoa zilizowafanya waondoke, na kuamua kumuunga mkono, wapo watakaoamua kubaki katika imani Ingawa nyoyo zao zitabaki na shaka , Lakini wapo watakaoamua kutopiga kura Kabisa Kwa kuona ulaghai unaofanywa na vyama vya siasa. Kumbuka wingi huanza na moja, hivyo athari ya kukosa kura moja ni kubwa sana, na mtu naweza kutangazwa kua mshindi Kwa tofauti ya kura moja tu.
Alishtukia Mbowe kavuta 10bn ili amchukue Lowassa bila masharti
Sitashangaa nikisikia kesho Mbatia kajitoa!
Ukawa ni muungano wa watu makini kutoka Chadema, watu makini kutoka CUF, watu makini kutoka NCCR, watu makini kutoka CCM, watu makini kutoka NLD, watu makini kutoka vyama vingine na watu makini wasiokuwa na vyama. CCM lazima iondoke Oktoba hata ikibidi kwa goli la mkono. Hakuna muda mufuaka kama huu. Hii nafasi haitajirudi tena. CCM isipoondoka amani nchini mwetu itapotea milele. Magufuli hata maliza miaka mitano. Nchi hii haitawaliki tena kwa mfumo uliopo. Asilimia kubwa ya wananchi wana hasira na maisha wanayoishi. Wakiendelea kubanwa watalipuka tu. Tutakuwa kama nchi zingine za Afrika zenye vita za wenyewe kwa wenyewe zisizoisha. Viashiria viko vingi mwenye macho haambiwi tazama. Muda wa kubembelezana umeshapita. Ili kuepusha shari lazima tusonge mbele.
1. Kwani mfumo huu si ndio wanaouishi hao unaodhani wataleta mfumo mpya?????
2. Hao viongozi si ndio wabunge wanaolipwa mapesa kibao na kutibiwa nje, sio wanufaikaji wa mfumo uliopo??!!!
3. Kiinua mgongo kipya wamepiga au hawajapiga??!!
Au mkuu unategemea wakiingia madarakani watajipunguzia maslahi yao ya sasa??!!!
If wishes were horses. . . . . . .
Kwa hiyo ukifungua uzi unaanza kusoma kwanza maoni ya wengine au unasoma kwanza lenyewe halafu ndo unatafakari cha kuchangia!!?