Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Dr. Mvungi alikuwa kikwazo kwa haya wanayotaka CCM hii leo ili kuondoa udhia WAKAMUA ushahidi wa kuhusika huku kwa hawa jamaa ni ile movie ya KOVA kwenda kwenye vyombo vya habari na kuonyesha Bendera na Kofia zenye rangi za CDM kuwa ndio walizokamatwa nazo wahusika wa tukio lile lakini baadae tukasikia matamko kuwa Familia na wahusika wamesamehe mungu atawahukumu waliohusika na ndio ukawa mwisho wa ufuatiliaji wa tukio lile na hata wale tulioambiwa wamekamatwa sijawahi kusikia mwendelezo wa kesi ile.

Kwa hiki anachokifanya bwn polepole ni vema akajilinda na hawa wauaji kwani wanaweza kumziba mdomo kwa kumkatisha uhai wake ili waendelee na hizi sarakasi zao za kupindua maoni ya wananchi na hapa ndipo ninapoona uhalisia wa hili jina CHAMA CHA MAPINDUZI
Heee kumbe wahuni wapo kitambo
 
Kova anaendeleaje huko alipo?
 
Huyu mwamba bila mapendeleo kaiva - TAL type hazina kubwa kwa taifa hili, na kawakamata wahuni pabaya.
Asante sana brazaj kwa hii kumbukumbu. Nimeisoma mwanzo hadi mwisho. Kidogo kidogo naanza kumwelewa Camarada Polepole...

Hivi Dr. Mvungi aliuliwa awamu gani vile? Naanza kuconnect the dots!
 
Huyu kwangu namwita kijana shujaa katikati ya wanyama wakali na mchukulia kama kijana wakuingwa ndani ya taifa letu Tanganyika aka Tanzania ni hazina kubwa sana hongera sana kijana Polepole.
Pole Pole yupo mbele ya muda. Sema alipata ajali mbaya kwa kukubali kufanya kazi za ccm.
 
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa, anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii.

Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
hapa ameshayabananga
 
Back
Top Bottom