Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.

Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.

Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Napitia huu Uzi
 
shule ya uongozi
20211221_174300.jpg
 
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.

Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.

Nawakaribisha wadau kwa maoni.

Huyu mwamba bila mapendeleo kaiva - TAL type hazina kubwa kwa taifa hili, na kawakamata wahuni pabaya.
 
Huyu mwamba bila mapendeleo kaiva - TAL type hazina kubwa kwa taifa hili, na kawakamata wahuni pabaya.
Kajamaa huwa sijui kanajiamini nini. 2022 kabla ya kuwa balozi, aliitwa na kamati ya nidhamu ya ccm sababu ya ukosoaji wake. Akasema ccm hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza labda litokee jitu lenye miguvu sana, na atamtolea dirishani.

Sikujua kwann ccm hawakumfukuza kweli
 
Hawa ndiyo wale vijana jeuri, TAL type akiwaongelea Nyerere kuwa taifa linawahitaji. Siyo siri jamaa kama TAL tu, yuko njema!
 
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa, anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii.

Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Ameen
 
Naam!
 
Nchi ina watu wengi wenye weledi mkubwa sana ndugu zangu na huyu ni mmoja wao, ila mfumo hauruhusu kumea na kushamiri kwa watu wasio tegemezi na wenye fikra huru!!!!!

Wako vijana wengi sana wazuri kichwani na wako motivated sana ila hawataki kukuru kakara za uweledi kuingiliwa na siasa yaani ni kama wasomi wamesusia wanasiasa waendeshe nchi watakavyo liwalo na liwe sababu hata wakichangia wanaonekana kwenye mchakato lakini kwenye maamuzi au implememtation wanaachwa......mfano ndio huo wa tume...... kwa sasa wanaonekana wabaya, wamefanya kazi hovyo na kama hayo !!!!!!

Wakati tume ilitakiwa iwepo na huko bungeni wakae na kutoa ufafanuzi kila inapohitajika ila ndio kama hivyo sasa!!!!!!!
Naam!
 
Tunapozungumzia wazalendo na watu wenye KARAMA ya Mungu huyu jamaa pia yumo.

Hakika anayachambua na kuyaweka bayana kabisa masuala hususani yale ya kwenye Rasimu.

Jamaa ni mtu wa pekee kabisa,hakika anajua.Mungu amsaidie kwakweli.

Kama kweli una mtazamo CHANYA na haujajazwa MANENO utamwelewa sana bwana Polepole.
Polepole
 
That one is a genious, siku zote anajua anachokifanya na angekua mtu wa kupenda sifa watu wangeshamskia kwenye siasa but he keeps a low profile ila ukipata nafasi ya kufanya nae kazi utajua kwamba ni kichwa tofauti sana..
Naam!
 
Yaani hata mimi kila akianza kuongea sitaki amalize, akiongea ana mvuto fulani natural kama baba wa taifa alivyokuwa, nikimuangalia namkumbuka sana baba wa Taifa. Ni kijana charismatic kuliko kijana mwingine yeyote Tanzania kwa wakati huu, nina uhakika angepata chama akatangaza nia angepata kura nyingi mno, urais sio age bwana au experience, kwani Kabila mdogo alipochukua nchi ya Congo ambayo politics zake ziko more complicated zaidi ya Tanzania alikuwa na uzoefu gani? Na mbona ame manage?
Halafu linatokea mtu eti ni mwanaharakati kisa kawashika vibaya wanamtandao
 
Polepole ni hazina kubwa ya taifa mm binafsi nilianza kumfaham 1999 pale Azania nikiwa kdto cha kwanza,jamaa ni nguli wa midaalo(debates) haa
.. si mchezo Mzizima,Tambaza,Loyola,Shaban Robert,St Anthony n.k walikuwa wanakaa. Alileta computer km tatu kwa shule km zawadi za ushindi enzi hizo computer si mchezo. Kwa ufupi jamaa anajenga hoja na lugha ya ngeli km alizaliwa huko
Alianza kitambo sana
 
Aliwahi kutamka wazi wazi kwenye Malumbano ya hoja Itv kuwa yeye ni mwanachama hai wa ccm lakini suala la katiba ni kwa manufaa ya wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama,Mungu na amtangulie sababu wasema ukweli na wenye kuusimamia ukweli wazi wazi ni wachache na maadui wao ni wengi.
Naam
 
Back
Top Bottom