Huyu jamaa hakuna mwananchi anamuonea huruma,huyu ndie likuwa mstari wa mbele yeye na yule mijicho katika madai ya kuipanga katiba mpya na wananchi waliwapa sapoti kubwa sana na wakiaminia msimamo wao ndio unaofuatwa,mwisho wa skiku akawageuka wananchi na kuwapiga madongo na kujifanya hajui wala hana habari na katiba.
Leo hii huyu jamaa ana maradhi ya kutetemeka mikono na kama mnamuangalia katika kuibabaisha ile hali ya laana kwa aliyowaandikia wananchi wakati wa Katiba,mtamuona anajikuna kichwa sana ,maara anafungata vidole vya mikono miwili kwa pamoja mara hutoa mkazo kwa mikono ,lakini mikono akijaribu kuituliza kwenye meza basi inaaza kutetemeka.
Polepole ni Mnafiki mkubwa sana alie wazi na kubwa ni baada ya Magufuli kuingia madarakani na kumfadhili huyu jamaa aiianza kukengeuka kila kitu na kujiona yupo chini ya raisi Magu,kama hakuona kilichomkuta Bashite ,alijiona yupo chini ya Raisi hata kusmshinda makamu,na ndio tunaona leo ule ulevi aliobaki nao anaropoka mambo ya aibu na fedheha kumuona Raisi Samia hafai au anachokifanya Raisi Samia hakina mpangilio.
Raisi Samia alimuona mwanzo huyu jamaa kuwa ni mzigo mpiga debe asie tumia akili ,akamuweka kando na mapema,lakini bado Polepole anaendelea kurusha madongo. Tatizo hana sapoti ya wananchi,kwani wananchi walishamuona si wa maana ,