Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika.

Aliandika 👇👇👇

Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu.

Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM Mtandao.

Wimbo huu utumike kujenga hamasa na molari katika mapambano dhidi ya wahuni katika Nchi yetu na katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Wimbo huu hauna hati miliki uko huru kutumika na mtu yeyote anayeamini katika kampeni ya ku #kataawahuni

Wale wataalam wa kucheza muwe huru kuutengenezea namna ya kuucheza na steps kali kama zote.

Tanzania bila wahuni inawezekana
! Hasta la Victoria Siempre
1000165125.jpg
 

Attachments

Back
Top Bottom