Humphrey Polepole, Joseph Goebbels wa awamu ya tano aliyesimamia sera za kuua demokrasia, accomplice kwa majanga ya Lissu Dodoma

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.

Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.

Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao

Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.

Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
 
Polepole ni alikandamiza sana democracy na kujiona ni mtu haswa pale alipokuwa kiongozi wa CCM na alipokuwa akipewa vyeo na hayati Magufuli.

Leo hii hawezi kuinuka tu kuanza kumponda Samia aliyempa ubalozi na akafurahia maisha pamoja na Chama chake cha CCM halafu wenye akili tukamuelewa.

Huyu anapambania maslahi yake. Wapinzani wa kweli nchi hii ni LISSU, HECHE NA LEMA.
 
Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.

Ni yo Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.

Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.

Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Ila uwezo wake ni mdogo sn na ht hivyo hajajitathmini anajiona mtu mkubwa mwenye ushawishi ila ukweli ni kuwa ni nyau mdg sn
 
Aliyempiga risasi lissu kunauwezekano mkubwa akawa Makamu wa kipindi kile ili kumhujumu rais wa kipindi hicho.Maana kama siyo yeye Kwa Nini mauaji yaendelee Hadi Leo kama yale ya mzee kibao,mdude na wengine. Huyu wa saa ni muuaji
Lioneni hili zombie, halina ht haya. Vt vingine ni mpumbavu tu aweza kuyasema
 
Ila uwezo wake ni mdogo sn na ht hivyo hajajitathmini anajiona mtu mkubwa mwenye ushawishi ila ukweli ni kuwa ni nyau mdg sn
Kabisa, wanaume walipingana na serikali mchana kweupe hadharani, akina Mrema, Kasanga Tumbo
 
Mwenezi wa chama? Ndio awe mtu tishio CCM, Lowassa alishindwa, kuna mtu ndani ya CCM alikuwa na nguvu km Lowassa? Samia alikose na atajutia kumpatia ubalozi, level yake ilikuwa kupewa uDC km Shaka Hamdu Shaka.
 
ok lets give the devil its due, vipi kuhusu sasa hivi nani kamfunga na kumtesa Tundu Lisu kwa maana H.Polepole hayuko serikalini bosi wake mlishammaliza, then nani anamtesa Tundu Lisu leo hii bado ?, nani kamuua Kibao tena muislamu mwenzenu? ...
 
Mwenezi wa chama? Ndio awe mtu tishio CCM, Lowassa alishindwa, kuna mtu ndani ya CCM alikuwa na nguvu km Lowassa? Samia alikose na atajutia kumpatia ubalozi, level yake ilikuwa kupewa uDC km Shaka Hamdu Shaka.
Sahihi kabisa
 
ok lets give the devil its due, vipi kuhusu sasa hivi nani kamfunga na kumtesa Tundu Lisu kwa maana H.Polepole hayuko serikalini bosi wake mlishammaliza, then nani anamtesa Tundu Lisu bado ? ...
Lissu kaponzwa na upumbavu wake, he commited the biggest political blunder of all times
 
Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.

Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.

Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao

Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.

Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Sisi hatutaki haya tunachohitaji ni Polepole kutufumbua macho na kuandika madudu ya wahuni.
 
Mwenezi wa chama? Ndio awe mtu tishio CCM, Lowassa alishindwa, kuna mtu ndani ya CCM alikuwa na nguvu km Lowassa? Samia alikose na atajutia kumpatia ubalozi, level yake ilikuwa kupewa uDC km Shaka Hamdu Shaka.
Mkapa ndo alinusulu chama kipindi kile now sasa wa kunusulu chama
 
Back
Top Bottom