Humphrey Polepole huijui CCM wewe

Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa.

Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole hakuwa mtu sahihi wa kuvaa " viatu" vya Nape Nnauye kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi Taifa.

Kwakuwa siasa ndo uwanja pekee ambapo kila kitu kinawezekana basi Hayati Magufuli katika Ujenzi wake wa "CCM MPYA" akamfanya Mwanaharati Humphrey Polepole kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi Taifa, nafasi kubwa ambayo ilikuwa ni aibu kushikwa na mtu ambaye hakuwahi hata kuwa Mwenezi wa tawi wa CCM.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni haya mabadiliko madogo aliyofanya Mheshimiwa Spika Job Ndugai katika Kamati za Bunge kwa mujibu wa matakwa ya kanuni ya 135(3) -(5) ya kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Juni 2020.

Humphrey Polepole amehamishwa kutoka kwenye kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za mitaa ambapo alikuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na kupelekwa Kamati ya Sheria Ndogo ambapo nadhani atakuwa Mjumbe wa kawaida tu.

Ujumbe wa Polepole kwenye kamati Ndogo ya Sheria utakuwa wa kawaida sana kwa sababu kuu mbili; mosi, Polepole atakuwa Mjumbe wa kawaida kwa maana hatakuwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.

Pili hiyo kamati ndogo ya sheria ni " technical committee" ina wajibu katika masuala ya sheria ambapo Polepole si Mwanasheria bali ni mtu wa "DS" ( Development Studies), Polepole ni layman hivyo hataweza "kujiachia " kama afanyavyo kwenye Shule yake ya Uongozi huko YouTube.

Nachukua nafasi hii kufanya mambo makubwa mawili kama ifuatavyo:
Kwanza, kumpongeza Mheshimiwa Spika Job Ndugai pamoja na Bunge lake tukufu kwa mabadiliko hayo yenye busara kubwa sana ndani yake.

Pili, kumjulisha Polepole kuwa haijui CCM! CCM is just like a green Snake in the green Grass! It is an invisible creature in some areas but it can bite you anytime.
Ungeyaandika haya wakati wa JPM.ingesaidia sana now is useless

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ccm hamna faida yoyote hapa nchini
CCM bado tupo sana! Kwa hizi siasa zenu za "one man show",CCM itaongoza Nchi hii kwa muda mrefu sana ujao!
Ukitaka kuijua nguvu ya CCM, ona jinsi Patrobasi Katambi,Pauline Gekul, na akina Mwita Waitara wanavyoipambia CCM sasa hivi! Tafuta clip zao humu miaka 7 nyuma uone walivyokuwa wakiongea huku wakitoa mapovu midomoni! Foma Gold haifuati! Leo wako wapi?
 
Katika kipindi chake cha kuwa katibu mwenezi CCM alifanikisha ushindi mkubwa kwa wagombea wa nafasi mbali mbali kuanzia Serikali za Mitaa, Udiwani, Ubunge na nafasi ya Urais...ndugu Humphrey Polepole amefanikisha ushindi huo wa kihistoria kwa CCM, Halafu leo hii unasema hafai ?
Usituletee mawazo yako ya KICHADEMA CHADEMA hapa! CCM ni taasisi kubwa yenye mtandao mpana sana ! Hata bila Polepole ushindi wa kishindo uko palepale ! Polepole anapiga kura ngapi kwenye uchaguzi? CCM ni taasisi kubwa siyo hivi vikundi vyenu vya kutafutia ruzuku!
 
CCM bado tupo sana! Kwa hizi siasa zenu za "one man show",CCM itaongoza Nchi hii kwa muda mrefu sana ujao!
Ukitaka kuijua nguvu ya CCM, ona jinsi Patrobasi Katambi,Pauline Gekul, na akina Mwita Waitara wanavyoipambia CCM sasa hivi! Tafuta clip zao humu miaka 7 nyuma uone walivyokuwa wakiongea huku wakitoa mapovu midomoni! Foma Gold haifuati! Leo wako wapi?
Alafu wewe kajamba nani unafaidika nini masikini ya Mungu?
 
Kwanza polepole sio mwanasiasa yule ni mwanaharakati hapo kuna vitu viwili tofauti.
Ila kinanipa mshangao hivi hicho chuo cha uongozi alichoanzisha kimesajiliwa wapi
 
Wewe unafaidi nini pale Mbowe anapotafuna ruzuku za CHADEMA?! Ruzuku anakula Mbowe lakini mapovu unatoa wewe, pipoooooozzzzzzz!
Endelea na kazi yako ya kuramba miguu ya Chakubanga
1523801129.jpg
 
Wanamchelewesha sana... Afukuzwee

Back
Top Bottom