Jamaa wote wawili ni wanajeshi so shuruti zozote kwao sio kitu kigeni .Ni inaonyesha jinsi chama kilivyofilisika kimawazo sasa wanatafuta makossa yao .There is nothing to lose kwao ,wameyatafakari yote hayo na huu sio mwisho wa dunia mnawatisha na wengine wasiwe na misimamo yao iwe ya mwenyekiti which is wrong .CCM ijifunze kukubaliana kwa kutokukubaliana na sio vinginevyo
Kwa hiyo kulea ufisadi ndio kutunziana heshima.
Lkn ufisadi wa makonda kupitisha makontena yake bandarini hautaonekana kwa sasa,mpk siku atakapo kivuruga chama ndipo watamsema na yeye.Walimwambia alipe kodi kama ambavyo wewe pia unaweza kuambiwa, lakini yeye akitaka afanye huo ufisadi, sasa kanuna, kwa maana hiyo ufisadi hautakiwi kwa sasa.
Lkn ufisadi wa makonda kupitisha makontena yake bandarini hautaonekana kwa sasa,mpk siku atakapo kivuruga chama ndipo watamsema na yeye.
dodge
Haka ka chakubanga bhana....
Kalikuwa kanamwita Lowassa fisadi alipokuwa upinzani, alivyorudi CCM hatukasikii tena kakibweka...
Yaani mtu anaonekana mchafu akitoka CCM...
Kwa sababu nchi inaongozwa na mazwazwa....Na inaonekana mtu akiwa CCM ni fisadi ila akija CHADEMA ni malaika msafi, jiulize kwa nni?
Na zawadi waliyompa ni kumtanguliza mbele ya haki...Horace Kolimba awaambia chama kimepoteza dira na mwelekeo wakabisha na bado wanaendelea kubisha lakini ukweli unaonekana zairi shairi
Kama aligawa Magu na Dr. Mpango walikua wanalia lia nini khs kontena za Makonda?Hata makonda makontena yake waligawa kwa hiyo kama una ushahidi mwingine lete hapa.
Kontena limejaa luxury furnitures atueleze hizo zilikua furniture kwa ajili ya shule gani za serikali.Waligawiwa wapi lete ushahidi.!
Daah Kinana mwizi sana,kontena 700 bado meli yake ikakamatwa na meno ya tembo daah kutafuta mtu msafi CCM ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.
dodge
huyu hapaHizi ni kauli za kijinga sana siku zote mlikuwa wapi kusema inaonyesha wazi CCM ndio ngome ya mafisadi
Ushauri mzuri Sana.POLEPOLE JIFUNZE KUNYAMAZA HAO SI VIJANA WENZAKO NI BABA ZAKO, CHEO KWENYE CHAMA KISIKUTIE KIBURI.
Kweli mkuu,90% ya viongozi wajuu wastaafu wa CCM+walioko madarakani walitakiwa wawe jela sasa hivi.Huyo Kinana alifaa awe Jela kitambo sana.
Yeye ana container ngapi bandarini?Yaani kuwe na kiongozi wa chama mwenye containers 700 hajalipia kodi halafu mnataka kumhoji kamati ya chama badala ya TAKUKURU/Mahakama ya Mafisadi?Huko CCM ni yupi ambaye siyo fisadi?Hiyo kamati yenu ni POLICE,TRA,TAKUKURU au Mahakama?Haka ka chakubanga bhana....
Kalikuwa kanamwita Lowassa fisadi alipokuwa upinzani. Tena hakakuishia hapo bali alimwita mgonjwa anayejinyea.... alivyorudi CCM hatukasikii tena kakibweka...
Yaani mtu anaonekana mchafu akitoka CCM...
Suala la kujiuliza, kwani hivi kulipa kodi ni dhamana ya CCM? Nilifikiri nchi hii wenye dhamana ya kuzungumzia Mambo ya kodi ni TRA peke yao? Inakuwaje Leo Katibu muenezi wa CCM anazungumzia masuala ya kodi Bandarini? Kama ni kweli hizo Habari kazipatia wapi? Kama amezipata TRA, maana yake TRA wamepoteza sifa ya kuwa wakala wa Serikali ya kukusanya kodi kwa kosa la kutoa Data za wateja wao, au kwa maana nyengine wanaitumia dhamana waliyopewa kisiasa?Polepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.
"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole
“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.
View attachment 1352950
Chanzo: Dar Mpya
==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?
Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?
Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?
Labda huko kwenu CCM, yaani amani itoweke CCM mnataka kuhusisha na sisi watanzania wengine? Malizaneni wenyewe kwanza.Amani ikitoweka wote tutavurugikiwa, by Frederick Sumaye PM mstaafu!
huwa sioni kazi ya maana wanayofanya hao kina Kinana na wenzake kwenye kuwasidia mshinde chaguzi, coz kama ni wizi wa kura mnaufanya hovyo kila mtu anaona, polisi, tume vyote vinajulikana kuwabeba sasa kazi ya maana wanayofanya hao ni ipi..?Hivi kweli Mzee Kinana awekwe kwny Kitimoto.na kina Pole pole kujibu Maswali yaliyotengenezwa na Albert Msando yule wa Gigy Money?
Hata kama ni kumtukana Kinana tutafute matusi ya hadhi yake!
Mzee Makamba ni boshen, anaetafutwa ni Jongwe Comrade Abdul rahman Omar Kinana Alhabshy!
Kazi kubwa inayowakabili kina Pole pole ni kulinda Mapinduzi ya 1964 kwny Uchaguzi huu lakin wao kwa ugen wao wa Siasa wanadhan kazi kubwa ni kumsambaratisha Mzee Kinana ambae kwa hiyari yake aliamua kuacha Ukatibu Mkuu!
Unaenda kucheza Mechi ya Fainali lakin uko busy kutuhumu na kudhalilisha Bench lako la ufundi na Kamati ya Ushindi
CCM imevamiwa na Nzige wanaohatarisha Uhai wa Chama.
Sent using Jamii Forums mobile app