Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

CCM ni genge la wezi tu CHADEMA ni taasisi ya wachaga Zitto Zuber Kabwe Ni mtumishi halali wa St Peter Bora turudishiwe Magavana miaka 59 ya Uhuru kila siku tu narudi nyuma tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa mchango Kada mzoefu, naona sasa Bashiru, Kitila, Polepole na Msando ndio ma alwatani ya chama.
Ccm ni taasisi mkuu si kama chadema kwamba akitoka mbowe chama kina kufa .

Hao kina Kinana ni sawa na samaki akitoka kwenye maji anakufa.

Ninacho kiona hapa ni wapinzani kupumbazwa na haya yanayoendelea ccm kana kwamba ndio yafafanya washinde uchaguzi. Yani hawajiulizi kwanini haya hutokea kila unapokaribia uchaguzi?

Kingine unaweza kukuta huko ccm kuko shwari kabisa na hakuna hata ugomvi. Ila ni njia ya kuwapoteza kwenye reli wapinzani, na walivyo wajinga na wepesi wa kudandia mambo tayari wameingia kingi. Yani sasa hivi wameshajiaminisha kina Kinana na Membe watamtoa Magu asigombee 2020.

Sasa unajiuliza ccm wakimtoa Magu wakamweka mwingine sijui ndio wapinzani wameshinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
POLEPOLE JIFUNZE KUNYAMAZA HAO SI VIJANA WENZAKO NI BABA ZAKO, CHEO KWENYE CHAMA KISIKUTIE KIBURI.
Hapana acha awatukane tena aongeze matusi kwa kadri iwezekanavyo ili hao wazee wajute kwa waliyotufanyia 2015.

Polepole nakushauri umuongeze Musiba,Kibajaji,Musukuma kwny team yako ya watukana matusi tena mtukane yale matusi mazito zito kwa hao wazee hadi akili ikae sawa bin sawia.

dodge
 
Enzi na Enzi gani Waziri mkuu alipotumwa na Rais kwenda bandarini?
Siku moja ikitokea (ipishie mbali) Bw. Makonda kuondolewa madarakani na pengine akaonekana na Kakesi kokote, pamoja na kumsema sema vibaya kote lakini OOOOOH watakuja mbio kumtetea na saa ingine atabatizwa kuwa kamanda. Tuhuma za Bw. Kinana juu ya makontena ni za enzi na enzi. Kwamba ni kwa nini haikusemwa mwanzo, bado haiwezi kuzuia kusemwa leo. Acha asemwe na ikiwezekana hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe ili baadaye zitumike kama funzo kwa wanaoendelea madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli Mzee Kinana awekwe kwny Kitimoto.na kina Pole pole kujibu Maswali yaliyotengenezwa na Albert Msando yule wa Gigy Money?

Hata kama ni kumtukana Kinana tutafute matusi ya hadhi yake!

Mzee Makamba ni boshen, anaetafutwa ni Jongwe Comrade Abdul rahman Omar Kinana Alhabshy!

Kazi kubwa inayowakabili kina Pole pole ni kulinda Mapinduzi ya 1964 kwny Uchaguzi huu lakin wao kwa ugen wao wa Siasa wanadhan kazi kubwa ni kumsambaratisha Mzee Kinana ambae kwa hiyari yake aliamua kuacha Ukatibu Mkuu!


Unaenda kucheza Mechi ya Fainali lakin uko busy kutuhumu na kudhalilisha Bench lako la ufundi na Kamati ya Ushindi

CCM imevamiwa na Nzige wanaohatarisha Uhai wa Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah Kinana mwizi sana,kontena 700 bado meli yake ikakamatwa na meno ya tembo daah kutafuta mtu msafi CCM ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.

dodge
 
Polepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.

"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole

“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.

View attachment 1352950

Chanzo: Dar Mpya

==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?

Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?

Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?

Huyu anatumika vibaya bila yeye kujua kuwa anatumika.
1: Atueleze yale makontena yaliyodaiwa kuwa ni yamakonda yaliishia wapi na kodi ililipwa kiasi gani pamoja na kwamba boss wake alitoa tamko?

2: Nafasi aliyonayo kwa sasa, hao anaowatuhumu walisha itumikia kwa muda mrefu na kwenye nafasi kubwa zaidi. Hivyo asidhani kuwa atakaa hapo milele. Akisha tumika hatabaki salama.
 
Hahahaaaa...........Wasiwasi wangu ni je huyo Kinana ana uvumilivu wa " kutukanwa" kama Lowassa?
Kama hawezi kutukanwa ana OPTION gani nyingine?

Nakumbuka Makamba Snr. alivyomtukana Lowassa pale Moro kwny kampeni za 2015 huku Kinana akiwa pembeni akicheka cheka nakuja kuamini siasa ni udwanzi.

Leo Lowassa na Magu wako fresh huku Kinana&Makamba wanasubiri kutafunwa.

dodge
 
Dhahiri muda wa kuonekana tabia za fisi kula fisi, umefika...😅
Fisiem mbele kwa mbele


Everyday is Saturday...................😎
 
Kama hawezi kutukanwa ana OPTION gani nyingine?

Nakumbuka Makamba Snr. alivyomtukana Lowassa pale Moro kwny kampeni za 2015 huku Kinana akiwa pembeni akicheka cheka nakuja kuamini siasa ni udwanzi.

Leo Lowassa na Magu wako fresh huku Kinana&Makamba wanasubiri kutafunwa.

dodge
Lowasa anawacheki tu kwa mbali
 
Back
Top Bottom