Hivi wakati wa kuzunguka mikoa yote....per diem ilikuwa shilingi ngapi vile!?Polepole kumbuka huna mchango hata wa 4% kulinganisha na hao wazee kamwe! na kamwe hutaweza kufikia japo aslimia 20% hata ukikaa miaka 100 hapo ccm! acha kubeza hawa wazee waliokijenga chama! viatu vyao wewe na bashiru humuwezi kuvivaa milele!
Huyo Mbowe container 700 angezitoa wapi?!Mbona hamkumpa uhjumu uchumi ingekuwaje angekuwa Mbowe?
Umeandika nini hapa?
Mwandiko wa vitoto vya Facebook vilivyo vamia JFHtr cna
Huu upumbavu nilitegemea chadema wasiufanye. Ila walimtukana lowassa baadae wakamsafisha, sasa amerudi ccm wapo kimya. In short hamna chama kwa sas Tz mtu unaweza kukiaminiHaka ka chakubanga bhana....
Kalikuwa kanamwita Lowassa fisadi alipokuwa upinzani. Tena hakakuishia hapo bali alimwita mgonjwa anayejinyea.... alivyorudi CCM hatukasikii tena kakibweka...
Yaani mtu anaonekana mchafu akitoka CCM...
Polepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.
"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole
“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.
View attachment 1352950
Chanzo: Dar Mpya
==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?
Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?
Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?
Kesho Mbowe na Zitto wakihamia CCM wataitwa wakombozi na watetea wanyonge. Kesho kutwa Polepole akihamia upinzani huku watamwita mshamba zero brain na kule watamwita shujaa asiyependa kuburuzwa...Huu upumbavu nilitegemea chadema wasiufanye. Ila walimtukana lowassa baadae wakamsafisha, sasa amerudi ccm wapo kimya. In short hamna chama kwa sas Tz mtu unaweza kukiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Polepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.
"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole
“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.
View attachment 1352950
Chanzo: Dar Mpya
==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?
Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?
Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?
Umevuka mipaka ya mijadala ya kistaarabu.Kwahiyo wewe baba yako ni mwenzako na mama yako ni shosti wako!
Tafakari,chukua hatua.Amani ikitoweka wote tutavurugikiwa, by Frederick Sumaye PM mstaafu!