Siku moja ikitokea (ipishie mbali) Bw. Makonda kuondolewa madarakani na pengine akaonekana na Kakesi kokote, pamoja na kumsema sema vibaya kote lakini OOOOOH watakuja mbio kumtetea na saa ingine atabatizwa kuwa kamanda. Tuhuma za Bw. Kinana juu ya makontena ni za enzi na enzi. Kwamba ni kwa nini haikusemwa mwanzo, bado haiwezi kuzuia kusemwa leo. Acha asemwe na ikiwezekana hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe ili baadaye zitumike kama funzo kwa wanaoendelea madarakani.Mbona habari ya makontena 700 ipo siku nyingi! Au kwakuwa kasema Polepole?
Hatimae Nawe umewachoka?? AseeHivi kweli Mzee Kinana awekwe kwny Kitimoto.na kina Pole pole kujibu Maswali yaliyotengenezwa na Albert Msando yule wa Gigy Money?
Hata kama ni kumtukana Kinana tutafute matusi ya hadhi yake!
Mzee Makamba ni boshen, anaetafutwa ni Jongwe Comrade Abdul rahman Omar Kinana Alhabshy!
Kazi kubwa inayowakabili kina Pole pole ni kulinda Mapinduzi ya 1964 kwny Uchaguzi huu lakin wao kwa ugen wao wa Siasa wanadhan kazi kubwa ni kumsambaratisha Mzee Kinana ambae kwa hiyari yake aliamua kuacha Ukatibu Mkuu!
Unaenda kucheza Mechi ya Fainali lakin uko busy kutuhumu na kudhalilisha Bench lako la ufundi na Kamati ya Ushindi
CCM imevamiwa na Nzige wanaohatarisha Uhai wa Chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole pole kashindwa kuficha ujuha wakePolepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.
"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole
“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.
View attachment 1352950
Chanzo: Dar Mpya
==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?
Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?
Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?
Polepole kuna maisha baada ya Ukatibu,kumbuka hapo wamepita wengi sana,ccm ipo na itaendelea kuwepo ila wewe hutakuwepo,Makamba na Kinana walikuwepo hapo leo wakiamua kutoka waacheni watoke kwanini uwatishe? Kumbuka na Wewe utatoka tu ,tunayo yako.Polepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.
"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole
“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.
View attachment 1352950
Chanzo: Dar Mpya
==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?
Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?
Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?
msando ndio think tank au?Asante kwa mchango Kada mzoefu, naona sasa Bashiru, Kitila, Polepole na Msando ndio ma alwatani ya chama.
colonel Abrahaman kasema haogopi jail cell he is ready .Kwa nini wasiwafungulie mashtaka kwa mujibu wa sheria wachukuliwe hatua kwani mahakama zipo kwa sababu gani. Apeleekwe na Makonda pia maana na yeye alikuwa anakwepa kodi kwa kujifanya anaenda kupeleka misaada kwenye shule za dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa...........Wasiwasi wangu ni je huyo Kinana ana uvumilivu wa " kutukanwa" kama Lowassa?Tukuulize wewe kada mambo yako vipi kwa graundi
colonel hana uvumilivu akikumbuka alivyo hustle jeshini alafu aje atetemeke kwa kijamaa kilichoenda mjibu wa sheria kilipo maliza form six .Muda utaongea si ndio mmeanza sasa kumsulubu.... Tusishangae mkaanza kuhoji na uraia wake