Nyanya moja miatano, mahindi debe elfu ishirini unga sembe kilo 2000, kuja kujitambua sio leo.Nchi ya wanyonge na masikini...hizi ndizo habari za kuongea mbele yao huku uchumi wao ukizidi kudidimia na watawala wanajisifu kuongoza wanyonge na masikini ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anatumika vibaya bila yeye kujua kuwa anatumika.
1: Atueleze yale makontena yaliyodaiwa kuwa ni yamakonda yaliishia wapi na kodi ililipwa kiasi gani pamoja na kwamba boss wake alitoa tamko?
2: Nafasi aliyonayo kwa sasa, hao anaowatuhumu walisha itumikia kwa muda mrefu na kwenye nafasi kubwa zaidi. Hivyo asidhani kuwa atakaa hapo milele. Akisha tumika hatabaki salama.
Huko hakuna msafi, Ngoja siku Ngosha atoke tutakavyohesabiwa madudu yake.Daah Kinana mwizi sana,kontena 700 bado meli yake ikakamatwa na meno ya tembo daah kutafuta mtu msafi CCM ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.
dodge
Nadhani wanampa onyo kuwa punguza kiburi hauko salama Mzee.!Enzi na Enzi gani Waziri mkuu alipotumwa na Rais kwenda bandarini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lolote analoongea Polepole linabaraka za Mwenyekiti.
Mkuu ndio tujue kuwa watu wapo ccm si kwa sababu ya mapenzi yao bali kulinda madhambi yao.Kuna watu ni wendawazimu ndani ya uongozi wa chama. Kama unatii unaruhusiwa kufanya makosa yote ila ukigoma kufanya wanachotaka ndiyo makosa yako yanatangazwa.
Kama ni kweli huyo kiongozi alikuwa na hayo makonteina 700 ambayo hayakulipiwa kodi, na hakufanywa chochote kwa sababu ni kiongozi mtuifu wa chama, basi CCM ni jumba la wahalifu watiifu.
Vinginevyo, tuamini tu huyu Polepole ni mwongo na mnafiki.
Kweli aisee,we subiri uone wakina Dotto James,Popepole,Dr.Bushiru,Paramagamba,Ma co. Ya wakandarasi yenye mahusiano na wakuu wa CCM watakavyo fukuliwa makaburi yao.Huko hakuna msafi, Ngoja siku Ngosha atoke tutakavyohesabiwa madudu yake.
Hahah nadhani sa hivi hata ka'afya' katarudi kidogo maana anaenjoy mchezo unavyoenda.Lowasa anawacheki tu kwa mbali
Na hapa ndipo itakuwa kiini cha kutotaka kuwa nje ya madaraka. Kwa inavyoonyesha viongozi wa awamu hii watakuwa waoga sana kutoka madarakani.Kweli aisee,we subiri uone wakina Dotto James,Popepole,Dr.Bushiru,Paramagamba,Ma co. Ya wakandarasi yenye mahusiano na wakuu wa CCM watakavyo fukuliwa makaburi yao.
dodge
Walikua wapi kumshitaki au Kumwajibisha wakati yupo madarani Mpaka wasubili atoke ndo wamseme au kumshitaki auoni kua huo ni udhaifu kwa serikali ya Ccm?Siku moja ikitokea (ipishie mbali) Bw. Makonda kuondolewa madarakani na pengine akaonekana na Kakesi kokote, pamoja na kumsema sema vibaya kote lakini OOOOOH watakuja mbio kumtetea na saa ingine atabatizwa kuwa kamanda. Tuhuma za Bw. Kinana juu ya makontena ni za enzi na enzi. Kwamba ni kwa nini haikusemwa mwanzo, bado haiwezi kuzuia kusemwa leo. Acha asemwe na ikiwezekana hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe ili baadaye zitumike kama funzo kwa wanaoendelea madarakani.
Kweli mkuu labda wang'ang'anie hayo madaraka milele lkn siku wakitoka tu ndio watajua watu walikua wanaogopa mamlaka walizokua nazo tu na wala hawawaogopi wao as an individual.Na hapa ndipo itakuwa kiini cha kutotaka kuwa nje ya madaraka. Kwa inavyoonyesha viongozi wa awamu hii watakuwa waoga sana kutoka madarakani.
Uongozi wa visasi ndio maana watu wanaogopa hata kuongea ukweli kwa kuhofia kufanyiwa kitu kibaya.Unapokuwa na Katiba kama hii ya kwetu na mifumo dhaifu ya uongozi inayotegemea aliyeko madarakani huwezi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile ukakosa kashfa. Na hata kama itakuwa ndogo kwa kiasi gani, inaweza kukuzwa na kumtia mtu kwenye hatia kubwa tu. Ni hekima zilizokuwa zikifanywa na viongozi waandamizi waliotangulia tu ndizo zimeleta utulivu hadi hivi leo. Akina polepole wajifunze uhalisia huo. Wanaanzisha utamaduni mbaya sana kwenye taifa. Utamaduni wa visasi. Ni vizuri wajikite kujenga Taifa lenye mfumo imara unaoanza na Katiba imara. Nguvu hii waliyonayo inatokana na Katiba hiyo hiyo itakayotumika na "watoto" wa akina Makamba na Kinana kuibua kesi dhidi ya wababe wa leo.
Haya wanayokuja nayo CCM sasa hivi, tutarajie makubwa huko mbele. Si muda mrefu kinga kwa Marais itakuwa historia. Na hapo ndipo tutakapokuja kujua thamani ya uvumilivu, "kupotezea" na heshima kwa viongozi wastaafu.
Haka ka chakubanga bhana....
Kalikuwa kanamwita Lowassa fisadi alipokuwa upinzani, alivyorudi CCM hatukasikii tena kakibweka...
Yaani mtu anaonekana mchafu akitoka CCM...
So Leo ndio tunapata habari ya kontena? Kwanini hatukupashwa habari kipindi kile kile cha tukio? Au pole pole amezijua hizi habari Jana ?