Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Kwa mtu anayeitwa Polepole uadilifu kwake ni Lowassa tu. Chenge, Tibaijuka na wengineo ni waadilifu waliotukuka.
Kwake yee na ma CCM wenzio List of shame inamhusu Lowassa tu.
Kwake yehe Kuhama kwa Lowassa na Sumaye basi chama kimekuwa kisafi na hakuna uchafu.
Kwake yeye Magufuli hana kashfa hata moja.
What a shame kumuangalia?