mfwalamagoha
Senior Member
- Dec 29, 2014
- 172
- 42
kwani anagombea jimbo gani?
Wewe kamanda jitambue. Embu mpe na hoja au ajenda za kuzungumzia. Usiseme tu kwa maneno fanya na matendo basi.Ukawa akikisheni mtatafuta mtu wa kumkaba pole pole,yeye kila siku yuko kwenye tv,na akiwa kwenye tv kazi yake ni kumchafua lowasa tu,msikubali,mtafutieni dogo mmoja kutoka bavicha ama bawacha mwenye kichwa kizuri amkabe huyu mpotoshaji mapema na apambane naye
Huyu mtu ni mtakatifu wa kusema uongo na kusingizia wenzake ni wezi
Ukawa akikisheni mtatafuta mtu wa kumkaba pole pole,yeye kila siku yuko kwenye tv,na akiwa kwenye tv kazi yake ni kumchafua lowasa tu,msikubali,mtafutieni dogo mmoja kutoka bavicha ama bawacha mwenye kichwa kizuri amkabe huyu mpotoshaji mapema na apambane naye

Acheni ujinga jamani makamanda msiongee bila kujielewa. Hao wakina Chenge, Tibaijuka na wengineo ata deal nao Magufuli. Hoja ni yule anayekalia kiti cha urais tuu kwa sasa. Mbona sisi ukawa tunasema hoja ni kwanza kuingoa ccm, halafu tuta deal na Lowasa baada ya hapo. Dr Slaa haikubali hoja hii kwa sababu atapoupata urais tu Lowasa basi katiba itamlinda. Atakuwa siyo unayemjua. Sasa embu tuambizane tutashughulika naye vipi wakati yupo ikulu.ni ndoto tunazodanganywaaa! Wananchi tuzinduke.
Sisi wafuasi wa Dr Slaa hatumkubali Lowasa na group lake la wapiga dili kamwe hatutawapa kura. Ni kheri Magufuli aendelee kuongoza na kuwa rais kuliko kupeleka Lowasa, Sumaye, Makongozo Mahanga, Msindai na matapeli wengine.
wamtoe wapi huyo mtu? hivi kwa akili yako kuna mtu wa kujibu hoja za polepole kutoka ukawa? tena ukawa yenyewe hii ya wapiga dili?
kwa bavicha na bawacha za sasa hamna wa kupambana na polepole, labda slaaaa! Teh teh teh.