Humphrey Polepole atakuwa channel 10

Humphrey Polepole atakuwa channel 10

Kwani Polepole ni kipi kipya anachozungumza? Kama ni ya Lowassa fisadi ilishasemwa. Je, kuna kipi kipya?
 
amphrey amekariri yale yale nishamfuatilia anadanganya wasiosoma ambao ndo mtaji wa ccm.
 
Polepole kamua mkuu Tz inajivunia watu kama wewe
 
Rushwa ni kitu kibaya sana!
ni kweli kabisa. ndo maana polepole anasaidia watanzania waelewe wala rushwa na watoa rushwa. nasikia kuna chama kimenunuliwa na tycoon kwa bil 10 na sasa bilionea huyo anataka ukuu wa kaya kabisa. lakini kwa kupitia kwa polepole watanzania wataelemishwa.
 
lowasa kaenda na mafuriko ya watukanaji ukawa. hivyo mtu akiwaanti lowasa unapolimoshewa matusi mpaka basi.
Ila tutamkata tu kwenda sanduku la kura
 
Duh!
yani nchi hii ni RICHMOND tu na Lowassa ndio walio sababisha umasikini wa nchi hii, Soon tutaambiwa hivyo!
 
Haya maisha bana jaman samahan kule monduli ni dunia ingine eee maana sipati picha nahis monduli km ulaya vileee daaah
 
Lowasa anapata cavarage kushinda magufuli, kila kona lowasa kilanpembe lowasa kila chombo cha habari lowasa mitandao lowasa ahh ahhh mwaka wake.
 
Yani sipati picha kila kona lowasa, media zote mjadala ni lowsa, mtaani ni lowasa. Hakika atakuwa raisi. Magufuli mabango yamezagaa kilakona ila watu hawazungumzi habarizake, dah kweli pombe mwisho kaunta mtaani ni lowasa
 
.... hivi wanavyomsema hivi hawajui wanamuongezea na kura zingine za huruma?
 
Back
Top Bottom