Humphrey Polepole andaa Suti

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,181
Reaction score
41,643
Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,

Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi

Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka

Britanicca
 
Kwani asipokuwa na suti itazuia nini nyinyi kukutana na kuongea? Kuvaa suti ni kasumba tu.

Mbona Elon Musk anaingia Oval Office akiwa casual but smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…