Humphrey Polepole anaongea mbashara kupitia mitandao ya kijamii

ndio ushirikina gani huo gentleman?🐒
😂😂😂😂😂
Mbona unawaz ushirikina kwenye kila kitu? Relax mkuu kikubwa unapata buku7 yako acha mengine yapite tu. Wewe kaa na kutafakari nini cha kuandika kuhusu CDM upige pesa yako ya siku maisha yaendelee
 
IMG-20250814-WA0039.jpg
 
Wahuni wote ambao walikuwemo kwenye sakata la tegeta escrow wote wamechangia harambee ya Samia .Kwa maana hiyo wahuni wameingizwa rasm serikalini
 
Tusubiri ubatizo wa majimoto sasa
 
Mali za CCM ni mali za wananchi ccm haina mali hizo mali ilichukua kwa wananchi kinguvu wakati tupo mfumo wa chama kimoja

Kama vipi zilirudishwe kwa wananchi tuone CCM inamiliki nini
 
Kuongea sana bila ya kuwa na substantial solution/way forward ni sawa na porojo tu.

Sasa yeye na Kijiwenongwa wana tofauti gani? Aongee anayoongea lakini tuone na impact ya maneno yake kwa hao madhalimu CCM. Kutokuwa na muendelezo wa hatua katika kuongea kwake kunamfanya aonekane kama bitter ex asietaka kuachika.

Taratibu vikao vyake vinakosa impact, amekuwa kama mchambuzi huru wa soka sasa.
 
Kawa kama redio ya mbao
 
IMG-20250814-WA0049.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom