Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Na Lilongwe😂Mmezoea waliosomea Cuba 😅😅😅😅😅 yeye kaishi Cuba kabisa mitaa ya Havana ameivuruga.
😅😅😅😅😅😅😅 na Polepole ndiyo mwendo 😁😁😁😁Na Lilongwe😂
Ila kawaweza😂😅😅😅😅😅😅😅 na Polepole ndiyo mwendo 😁😁😁😁
Mayor Quimby hebu nawe decode hii kwa utakavyo elewa
Sana, hawakutegemea. Timu inazidi kuwa kubwa. Wengine wanaogopa sababu ya uchaguzi, wakikatwa wataungana 😊Ila kawaweza😂
Hili limesahaulika sana... Mfumo umemleaPolepole ni kipenyo pia
Ninavyosikia sikia ni Hapana....Nje ya mada, je inawezekana kuwa Balozi wa Tz nje ya nchi usiwe TISS?
Hahaha sawa kaka, the God of hell fire.
View: https://m.youtube.com/watch?v=wmin5WkOuPw&pp=ygUMRmlyZSBzdGFydGVy0gcJCdgJAYcqIYzv
Kiongozi mambo ya serikali kwakweli magumu na juu ya uwezo wangu, labda nikuwekee nyimbo ya kumalizia wknd yako ☝️
Mengine ni kuipazia sauti dunia msijeshangaa lolote likitokea ni nadharia tu, huku sio swari kwa sababu moja mbili tatu.
Ben Saanane yuko wapi?Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
most uwa ni, kama sio ukiwa unakuwa by defaultNje ya mada, je inawezekana kuwa Balozi wa Tz nje ya nchi usiwe TISS?
Mwalwayo wa Itigi auKumbe ulisoma azania tunaweza kua tunafahamiana
Sawa 🙏🙏🙏Ninavyosikia sikia ni Hapana....
Ukijua kiundani maana ya TISS na vitengo vyake ( categorization) unaweza gundua hata informant Ambaye ni Mbea tu anaweza akatumiwa Kwa KAZI za TISS na asiwe TISS. TISS is more than a title it is a role and purpose behind it. Kuna watu humu SIO TISS ila najua kabisa wanapenyeza na kupenyezewa TAARIFA Ambazo ni very crucial Kwa TISS humu jukwaani.Unawezaje kuwa TISS bila kozi?
Unawezaje kuwa TISS bila ya kuwa kwenye payroll Yao?
Kama Magufuli pamoja na kuusikilizisha umma utaahira wa Makamba na Napę hakuona sababu ya kuuwa ndoto zao za muda mrefu wa siasa.Ukijua kiundani maana ya TISS na vitengo vyake ( categorization) unaweza gundua hata informant Ambaye ni Mbea tu anaweza akatumiwa Kwa KAZI za TISS na asiwe TISS. TISS is more than a title it is a role and purpose behind it. Kuna watu humu SIO TISS ila najua kabisa wanapenyeza na kupenyezewa TAARIFA Ambazo ni very crucial Kwa TISS humu jukwaani.
Mfano Kuna post Ambazo kitengo ikiziona Huwa wanaweka Kambi hapo na kukusanya au kufatilia taarifa hizo kiundani na zinaweza zikawa zimetoka Kwa MTU WA Kawaida tu (mere man). Kwamfano Nina jua account za watu kama 10 hivi Top spy wa nchi wanazitumia kudondosha taarifa indirect na wanaweka Kambi kwenye hizo account kuangalia reaction ya watu.
Wanayoyafanya kina Polepole wameyapima muda mrefu sana na wanajua faida zake na hasara na maamuzi Mfano ya Polepole yako very calculated na wanakikundi Chao kabisa chenye nguvu ya dora kama vile TISS na Vyombo vya usalama vinawapa backup na soon Movement Yao itasambaa na wataungana na wapinzani wa kweli Kudai mabadiliko SI Kwa kujiunga na wapinzani Bali kusukuma kete za wapinzani Ili wapate nguvu ya umma na pia WA win trust Hadi ya wapinzani (CHADEMA). Na ndio máana kuna SIku nilitaja Hapa Kuwa ORDER OF POTENTIAL CANDIDATE AND PROSPECT CANDIDATE FOR PRESIDENCY NI GWAJIMA THEN LISSU.... kwanza niweke koma Hapa Niko safarini mpeni salamu Mh. MAJALIWA...LUAGA MPINA...POLEPOLE...HECHE...LEMA...GWAJIMA...LISSU...SLAA... na wale WAZEE walio jiuzuru they combo will be unstoppable