Humphrey Polepole ana codes

Bi.Chaudere lazima ampokonye hadhi ya ubalozi kama Dr Slaa!
 
Atakuwa kama Gwajima tu, ataufyata kimya, yupo wapi Gwajima? Kanisani hayupo msikitini hayupo
 
Ila sisi wepesi sana kusahau.
Mzee wa vieiteee Leo katema bungo Kawa shujaa.
Huyu alivoona wenzie wamenyolewa, yeye akajua the next; kachukua hatua. Wanasiasa bana....
Ila jamaa mjanja angesema haya baada ya kunyolewa, asingeeleweka. Lkn sasa the hero
 
Jf hii nayo imekuwa mzigo kwa wasomaji ...wajadiri hoja wamekuwa na mitizamo milani mno na hiki ni kipimo cha upana wa elimu yetu kwa sahivi. Elimu yetu haiwafanyi wasomi wetu kuwa GT tena ...inasikitisha sana tofauti na miaka kumi iliyopita jukwaa lilijaa watu wa kuweza kufumbua mafumbo na mitego ya kilugha, leo lugha ndogo kabisa lakini bado watu hawaelewi nini kinazungumzwa na mzungumzaji
 
Huyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Pole sana... yaani hapa tunaenda kujaa pwaa mara baada ya uchaguzi mambo iyena iyena
 
How it is started ... How it is going...!
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli umeongea na kugambage
 
Your browser is not able to display this video.
 
Alijua safu mpya hatokuwako akaamua kujisepesha mapema
 
Polepole ukimsikiliza na ile slogan yake ya kukataa wahuni. Unaona kabisa kuna mambo anayafahamu ila hana namna tu ya kupambana nayo.

Hizi sababu alizotoa bado kbs unaona kuna wahuni wapo ambao sasa wana nguvu chamani na serikalini.

Ipo siku atayasema yote huyu.
 
Kuna watu wanapenda kulalamika bila sababu sijui wana shida gani! Humphrey kaona sasa ni wakati sahihi yeye kuachana na dhambi bado mnataka apigwe mawe kwa dhambi alizowahi kuzitenda! Sasa maana ya yeye kusema hataki dhambi anatubu kama alivotubu ndugai,kinana,mpango,majaliwa imekua nongwa! Au mnamuogopa?
 
Hahaha leo kila mtu ni analyst humu ndani. Mimi sikujua Pople Pole watu wanamfahamu kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…