Humphrey Polepole aibuka upya, aongea mambo yenye utata!!

Humphrey Polepole aibuka upya, aongea mambo yenye utata!!

Najua polepole anautaka ukuu wa wilaya kwa udi na uvumba. Hasa aliposikia mkuu wa nchi yuko mbioni kuteua. Tulikupenda sana humfrey lakini ulipokubali kurubuniwa basi tena umepoteza mvuto. Opportunity never come twice
 
Halafu ana sura/muonekano wa kinafki sana,,labda mm ndo huwa namuona hivyo,,yaani akianza kujikunja huku akijifanya kusisitiza jambo,mikono anaiweka namna flani ivi huwa nnachoka kabisa..ni mnafki mpaka USO wake unashuhudia!
Ndio maana hakana nywele kale; utapiamlo ulimuathiri sana!
 
MNAFIKI NA KIGEU GEU anajitahidi kujipendekeza kwa watanzania baada ya kutoswa uongozi kwenye serikali ya Magufuli.
 
Popoma huyo hana jipya..ana njaa sana hata majukumu inaonekana hana .kilasiku kupiga umbea kwenye luninga
 
aliekua mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba leo ameibuka na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kuhusu katiba polepole amesema katiba pendekezwa inamapungufu kuizidi hata ya mwaka 77 tuliyonayo sasa hivyo anapendekeza kua badala ya kuipigia kura ya maoni ni vema pawepo maridhiano kwani bunge la katiba liliipoka katiba ya wananchi na kuifanya katiba ya viongozi kuhusu mgogoro wa zanzibar anasema ufumbuzi wake ulikua kwenye rasim ya warioba lakini katiba pendekezwa imeukuza sana huo mgogoro kuhusu yeye kwageuka ukawa amesema si kweli kua yeye aliwageuka ukawa isipokua ukawa walisaliti misimamo yao kwa kumkaribisha na kumpa nafasi mtu ambae yeye binafsi na wajumbe wenzie walimpinga hata akiwa ccm kwan anaamini kua lowasa hakua na uadilifu wa kumuwezesha kuleta mabadiliko chanya. kuhusu ccm na ufisadi amesema ccm ndio chama pekee hapa tanzania kuwahi kukiri kua kuna ufisadi ndani ya chama na sasa kimedhamiria kuukomesha vyama vingine havijafanya hivyo ingawa kwao pia kuna ufisadi
Huyi ndumila kuwili naye shida tu. Hafai kwa lolote
 
daah!ndo maana wakenya wanazidi kutuacha katika sectors muhimu.sasa imagine mtu kama sana sana anapata madaraka si atakana ahadi zake?majipu mengine tuwe tunayatumbua wenyewe
 
Tunataka ilee ya warioba wala sio iliyochakachuliw na wajinga wajinga kwa interest zao za kipuuzi bila kujali maslAhi ya taifa
 
Hata JamiiMedia haikuhitaji wewe, na ukiendelea hivyo nakupiga ban ya siku tatu
hainiitaji kwa sabab napingana na kauli zenu au kanuni gan za media nmevunja ckufunzwa kuishi kwa uoga nasimamia nnachokiamin na sisaport kila nnachokisikia
 
hatuhitaji kelele zake sisi wenyewe tunasubiri tamko la serikali lini tupige kura ili tufanye vitru vyetu. Kampeni za katiba zimeshapita
kwa hy kila anaetoa mawazo au msimamo wake ni kelele ata mbowe akitoa mawazo yasiyokupendeza ww ni kelele
 
pole pole haeleweki amepoteza uekekeo kuhusu katiba mpya atulie tu hana jipya
 
Polepole mbona kimya mkuu CCM Na serikali yako wamepeleka zuio fake uchaguzi wa meya Mwenzio Dr.Bana katoa neno
 
Back
Top Bottom