Ndio manake....Gambaz walikuwa wanamtumia kufanikisha yao...na ujira wake alikuwa analipwa kz imekwisha Magufuli yuko MagogoniTeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu kwahiyo ndiyo amekwisha tayari?
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu kwahiyo ndiyo amekwisha tayari?
Pole pole njoo huku ujibu tuhuma zakoNdio manake....Gambaz walikuwa wanamtumia kufanikisha yao...na ujira wake alikuwa analipwa kz imekwisha Magufuli yuko Magogoni
ata mwenyew haitaji kauli yakopolepole ni mnafiki hana uzalendo wa kweli, hatuhitaji kauli zake tena atuachie sisi wenyewe wananchi tuamua ama kuipigia kura katiba pendekezwa au la.
hatuhitaji kelele zake sisi wenyewe tunasubiri tamko la serikali lini tupige kura ili tufanye vitru vyetu. Kampeni za katiba zimeshapitaata mwenyew haitaji kauli yako
Masikini ya mungu hata kilicho andikwa siyo ulicho jibu kweli mla viwavi hana dhamanaHata mkiingia uvunguni, Polepole atakuja kuwanyuka huko huko.
Watu wanashindwa kumwelewa Polepole kwa sababu hakuegemea upande wowote. Tatizo la watu wengi sasa hivi wametekwa na uchama sana hivyo hawawezi kusimamia ukweli. Watu mngemuelewa Polepole endapo mngekuwa na fikra huru ambazo hazijafungamana na upande wowote. Si viongozi wala Wananchi wote wamechagua kuwa upande fulani hata kufikia kugombea fito katika ujenzi wa nyumba moja Tanzania. Wanahabari nao ndiyo usiseme hata wameshindwa kubalance story!Huyu jamaa sijawahi kumuelewa hata siku moja. Ni kigeugeu sana.
mungu wako ana kazi sana, Mungu akusamehe!Masikini ya mungu hata kilicho andikwa siyo ulicho jibu kweli mla viwavi hana dhamana
Hizi akili zako, ndio maana RAIS WAKO MPENDWA WA JMT DR. Magufuli kaamua elimu bure ili kuepuka watu kama wewe!Mla viwavi naona leo upo zamu ya usiku ili ujipatie mkate wako wa kila siku buku 7