Humphrey Polepole aibuka upya, aongea mambo yenye utata!!

Humphrey Polepole aibuka upya, aongea mambo yenye utata!!

aliekua mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba leo ameibuka na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kuhusu katiba polepole amesema katiba pendekezwa inamapungufu kuizidi hata ya mwaka 77 tuliyonayo sasa hivyo anapendekeza kua badala ya kuipigia kura ya maoni ni vema pawepo maridhiano kwani bunge la katiba liliipoka katiba ya wananchi na kuifanya katiba ya viongozi kuhusu mgogoro wa zanzibar anasema ufumbuzi wake ulikua kwenye rasim ya warioba lakini katiba pendekezwa imeukuza sana huo mgogoro kuhusu yeye kwageuka ukawa amesema si kweli kua yeye aliwageuka ukawa isipokua ukawa walisaliti misimamo yao kwa kumkaribisha na kumpa nafasi mtu ambae yeye binafsi na wajumbe wenzie walimpinga hata akiwa ccm kwan anaamini kua lowasa hakua na uadilifu wa kumuwezesha kuleta mabadiliko chanya. kuhusu ccm na ufisadi amesema ccm ndio chama pekee hapa tanzania kuwahi kukiri kua kuna ufisadi ndani ya chama na sasa kimedhamiria kuukomesha vyama vingine havijafanya hivyo ingawa kwao pia kuna ufisadi
Pole pole watanzania tulio wengi tumeshakujua kuwa wewe siyo mpigania haki bali ni mpigania tumbo lake,hivyo hata hasipojisumbua kukesha kwenye yombo vya habari maana hakuna mtanzania atakaye muamini tena
 
Angemuogopa Mungu na aseme ukweli, ile listi ya #46 imevuja nini akaona jina lake halipo anajaribu kurudisha akili yake.
Amesha chelewa maana watanzania tumeshamuelewa kuwa ni mwanaharakati wa tumbo lake
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Huyu mdogo mdogo ana ctamwelewapaka kufa kwangu anabadilika.Huyo anaweza kuwa kaisha ambiwa anapewa kazi maalum.Eti ukawa walivunja makubaliano!!!!! yapi hasa
 
Polepole alikuwaga! alisigina mtaji wake mwenyewe kwa kubadilika kutoka mwanaharakati wa mabadiliko na kuwa kada mkereketwa "vululuvululu" wa chama cha majizi ccm! He lost his major asset; MORAL AUTHORITY & CREDIBILITY; he can go hang for all I care!
Cc humphrey polepole
 
  • Thanks
Reactions: MTK
BAVICHA MSIYEMPENDA KAJA TENA! Haaahaaaaaa khe kheeee kheeeeeeeeeeeee, dozi kwa dozzzzzzzzz! Ukisikia watu wanalialia, ujue wanamgwaya!
Kiwavi utamjua tu
1456767043865.jpg
 
kwa sababu anaeleza mambo usiyoyafurahia ? vumilia kamanda hiyo ndio demokrasia! ! lazima usikie mambo unayopenda na usiyoyapenda maamuzi baki nayo rohoni mwako. huna haja ya kutusimulia
Wacha kurukia rukia post husizozijua zimeanzia wapi na kama ni hiyo buku 7 siyo lazima kuipata daily
 
Ameona ametoswa ndio anaona mapungufu! Wachumia tumbo wote wataisoma namba safari hii.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tangu kale wahenga walitwambia ADUI yake usimfanyie Mbaya....muombee NJAA utakuwa umemmaliza
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu kwahiyo ndiyo amekwisha tayari?
 
Huyu mdogo mdogo ana ctamwelewapaka kufa kwangu anabadilika.Huyo anaweza kuwa kaisha ambiwa anapewa kazi maalum.Eti ukawa walivunja makubaliano!!!!! yapi hasa
Kosa kubwa alilifanya kikwete pale singida kuwaombea udc vijana 46 wa ccm
 
kwa sababu anaeleza mambo usiyoyafurahia ? vumilia kamanda hiyo ndio demokrasia! ! lazima usikie mambo unayopenda na usiyoyapenda maamuzi baki nayo rohoni mwako. huna haja ya kutusimulia
Lakini mmeshindwa kuvumilia kukosa Umeya.CCM bwana ni shida.
 
Back
Top Bottom