Humphrey Polepole aibuka upya, aongea mambo yenye utata!!

Huyu jamaa ni mzalendo kweli tatizo baadhi ya WANAUKAWA walifikiri kwa sababu tuliungana naye kutetea maoni ya wananchi kwenye katiba mpya basi angelazimika kuipigia UKAWA kampeni kwenye uchaguzi.
Ikumbukwe alishaweka wazi uanachama wake wa CCM lakini kubwa zaidi alishaonya hata chama chake kuwa endapo kingempitisha fisadi Lowassa angekipinga kwenye uchaguzi.
Sasa angewezaje kuunga mkono UKAWA wakati alishaweka wazi msimamo huo zidi ya fisadi????
 
Hayo Maoni Yako, Sio Ya WANAUKAWA!!! Kikao Gani Ulikaa Nayo Na Kupata Taarifa Hizo!!?
 
Huyu jamaa nampenda sana maana ana msimamo ni mzalendo hasa maana alisema Lowassa ni fisadi na alisimamia jambo hilo Lowassa akiwa CCM mpk hata alipokwenda Ukawa ! Tungekuwa na vijana kama Poepole 10 nchi hii ingefika mabali
angekuwapo bavicha angalau mmoja kama Polepole, nchi ingesonga mbele.
 
Huyu pole pole tumpuuze na kumpotezea baada ya muda atapotea kabisa kwenye media ni kigeugeu na mtu anaependa kupata shavu la media
 
Natamani kuona hoja mbadala zenye kuumiza ubongo kuliko kupambana na kijana huyu polepole. Huyu kijana anatakiwa ajibiwe kwa hoja hivyo atafutwe kijana upande wa pili azime hoja zake na siyo kupoteza muda mala oohh! Msaliti haina maana.
 
Nadhani polepole anamatatizo,ukisikiliza maneno yakekwamda huoanapokuwa anaongea utasemayukovizuri kimawazo akitoka hapo akaendakituo kingine chahabari anasema tofauti sasabinasfi nadhindwa kumtafasili, naamini wakati wakampeni alikuwanaimani akiongea sana mwisho atapata nafasi kwaaliekuwa anamsemea, kilichotokea sijuisanalakini nadhani aligundua kuwa huyu atakachokiongea leo sichoatakachokidimamia kesho,akaachwa ndomaana sasaamekuwa msemaovyo kwenye midia
 
aliekua mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba leo ameibuka na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kuhusu katiba polepole amesema katiba pendekezwa inamapungufu kuizidi hata ya mwaka 77 tuliyonayo sasa hivyo anapendekeza kua badala ya kuipigia kura ya maoni ni vema pawepo maridhiano kwani bunge la katiba liliipoka katiba ya wananchi na kuifanya katiba ya viongozi kuhusu mgogoro wa zanzibar anasema ufumbuzi wake ulikua kwenye rasim ya warioba lakini katiba pendekezwa imeukuza sana huo mgogoro kuhusu yeye kwageuka ukawa amesema si kweli kua yeye aliwageuka ukawa isipokua ukawa walisaliti misimamo yao kwa kumkaribisha na kumpa nafasi mtu ambae yeye binafsi na wajumbe wenzie walimpinga hata akiwa ccm kwan anaamini kua lowasa hakua na uadilifu wa kumuwezesha kuleta mabadiliko chanya. kuhusu ccm na ufisadi amesema ccm ndio chama pekee hapa tanzania kuwahi kukiri kua kuna ufisadi ndani ya chama na sasa kimedhamiria kuukomesha vyama vingine havijafanya hivyo ingawa kwao pia kuna ufisadi
watu vigeugeu na wanafiki kama huyu bwana wanaweza hatarisha maisha ya watu,yaani haeleweki hata huko ccm alipo anasimama upande gani..watu kama hawa hatari sana unaweza kaa ukajua mwenzangu tunaongea hiki kumbe akitongozwa tu huko anabadil upepo
 
aliekua mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba leo ameibuka na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kuhusu katiba polepole amesema katiba pendekezwa inamapungufu kuizidi hata ya mwaka 77 tuliyonayo sasa hivyo anapendekeza kua badala ya kuipigia kura ya maoni ni vema pawepo maridhiano kwani bunge la katiba liliipoka katiba ya wananchi na kuifanya katiba ya viongozi kuhusu mgogoro wa zanzibar anasema ufumbuzi wake ulikua kwenye rasim ya warioba lakini katiba pendekezwa imeukuza sana huo mgogoro kuhusu yeye kwageuka ukawa amesema si kweli kua yeye aliwageuka ukawa isipokua ukawa walisaliti misimamo yao kwa kumkaribisha na kumpa nafasi mtu ambae yeye binafsi na wajumbe wenzie walimpinga hata akiwa ccm kwan anaamini kua lowasa hakua na uadilifu wa kumuwezesha kuleta mabadiliko chanya. kuhusu ccm na ufisadi amesema ccm ndio chama pekee hapa tanzania kuwahi kukiri kua kuna ufisadi ndani ya chama na sasa kimedhamiria kuukomesha vyama vingine havijafanya hivyo ingawa kwao pia kuna ufisadi
MUNGU ATAMUUMBUA SIKU MOJA ATAZIDI KUJIKONDEANA
 
Kimekiri Chama!?kupitia kinywa cha nani? akiwa wapi? Naamini aliyekiri ni Magufuli mpambanaji!!
 
mganji huyo. anatafuta pakutokea tena. kwa sasa atasubiri sana. kengeele hiyo

Polepole alikuwaga! alisigina mtaji wake mwenyewe kwa kubadilika kutoka mwanaharakati wa mabadiliko na kuwa kada mkereketwa "vululuvululu" wa chama cha majizi ccm! He lost his major asset; MORAL AUTHORITY & CREDIBILITY; he can go hang for all I care!
Halafu ana sura/muonekano wa kinafki sana,,labda mm ndo huwa namuona hivyo,,yaani akianza kujikunja huku akijifanya kusisitiza jambo,mikono anaiweka namna flani ivi huwa nnachoka kabisa..ni mnafki mpaka USO wake unashuhudia!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom