Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Wawaite kwenye nini? Kuunga mkono chama, kutoka chama hiki kwenda hiki ndo serikali ya viwanda?
Mura nimependa post yako mura
Wawaite kwenye nini? Kuunga mkono chama, kutoka chama hiki kwenda hiki ndo serikali ya viwanda?
maaskofu na mbowe walikuwepo hata kabla magufuli hajawa rais,ma rais wote waliopita hawakuwahi kutoa wakala kwa nini kwa jpmMaaskofu Hawa walishikwa kichwa na mbowe ziro watalipeleka taifa kubaya na matamko ambayo hata hawakubaliani
Bongolala nawe ukiwamo siyo! Hayo madawa yanaingizwa na kuuzwa na nani kama sio hao viongozi wenu wa ccm! Hayo madini na makinikia aliyagawa nani kama siyo mawaziri wenu wa ccm! Hivyo vita vya kiuchumi kasababisha nani kama sio ccm? Hamna namna bora ya kujisafisha zaidi ya kujimwagia petrol na kujiwasha moto ndipo uchafu wenu utatoka!NNimeamini bongo kuna vilaza wengi sana maana watu wengi wameshindwa kugundua hizi kelele na haya maazimio yanatokana na nini?? Bongo lala mnaona kawaida tu Hii ni vita ya kiuchumi nyumbuu nyie angalieni huko mbele. Hivi mnafikiri watu wa nchi jirani na hao watu wa makinikia na madawa ya kulevya wanaitakia hii nchi mema?? Ila kwa vile wabongo wengi vilaza wanafuata mkumbo tu hawajui hata hawa wanaowachochea wanataka nini. Za kuambiwa changanya na za kwako.
unajifanya unajua kumbe hujui chochot ,vita ya kiuchumi unaijua ww?? hivi kwa akili yako unawezaje kuwa na vita ya uchumi na mtu ambaye unategmea technolojia kutoka kwake au? na sio ya kuchimba dhahabu tu bali technologia ya uzalishaji ya bidhaa zote zinazotumika nchiniNNimeamini bongo kuna vilaza wengi sana maana watu wengi wameshindwa kugundua hizi kelele na haya maazimio yanatokana na nini?? Bongo lala mnaona kawaida tu Hii ni vita ya kiuchumi nyumbuu nyie angalieni huko mbele. Hivi mnafikiri watu wa nchi jirani na hao watu wa makinikia na madawa ya kulevya wanaitakia hii nchi mema?? Ila kwa vile wabongo wengi vilaza wanafuata mkumbo tu hawajui hata hawa wanaowachochea wanataka nini. Za kuambiwa changanya na za kwako.
Ccm ipi inaamini katika usawa?Sifieni kama kuna mambo ya kusifia na onyeni kama kuna mambo ya kuonya lakini hekima busara kwa sababu kauli hiyo ni kauli ya moto inaweza ikatujenga inaweza ikatubomoa.Kuna namna nyingi za kurekebisha, tusije tukageuza na kujadiliana na Maaskofu, Askofu anasema tunamjibu, tutakuwa tunamkosea Mungu.
Mimi sitaki kusema Maaskofu wamekosea au hawajakosea lakini nataka kusema haya majadiliano ukiyaangalia yanatokea wapi? Tusije tukaingia kwenye mtego wa Ibilisi tukajikuta tukimtizama askofu fulani tunaona chama fulani. Askofu unaonekana kama chama fulani, mfano mimi ni mwanaccm nina dhambi zangu nataka kuja kuungama kwako, ntaungamaje kwako wakati wewe una itikadi tofauti na mimi?
Chama chetu kinaamini binadamu wote ni sawa, kinaamini katika utu, kinaamini katika kujitegemea, kinaamini katika heshima ya watu, kinaamini katika kusema kweli, kinaamini katika vita dhidi ya rushwa, kinaamini katika umoja kinaamini katika kujitoa, kinaamini katika kazi ni kipimo cha utu.
Sasa nikikutizama wewe unaamini katika ubwanyenye, unamini katika kuhodhi mali, unaamini katika umangimeza, unaamini katika mimi ni mwenyekiti peke yangu na hakuna mwingine. Sasa utaanza kunipoteza.
Maaskofu Hawa walishikwa kichwa na mbowe ziro watalipeleka taifa kubaya na matamko ambayo hata hawakubaliani
Kama chama chenu kinaamini katika usawa kwann mmefukuza kazi wenye vyeti feki ila bashite na ww mwenyewe baado mnakula kodi zetu na mi zero yenuSifieni kama kuna mambo ya kusifia na onyeni kama kuna mambo ya kuonya lakini hekima busara kwa sababu kauli hiyo ni kauli ya moto inaweza ikatujenga inaweza ikatubomoa.Kuna namna nyingi za kurekebisha, tusije tukageuza na kujadiliana na Maaskofu, Askofu anasema tunamjibu, tutakuwa tunamkosea Mungu.
Mimi sitaki kusema Maaskofu wamekosea au hawajakosea lakini nataka kusema haya majadiliano ukiyaangalia yanatokea wapi? Tusije tukaingia kwenye mtego wa Ibilisi tukajikuta tukimtizama askofu fulani tunaona chama fulani. Askofu unaonekana kama chama fulani, mfano mimi ni mwanaccm nina dhambi zangu nataka kuja kuungama kwako, ntaungamaje kwako wakati wewe una itikadi tofauti na mimi?
Chama chetu kinaamini binadamu wote ni sawa, kinaamini katika utu, kinaamini katika kujitegemea, kinaamini katika heshima ya watu, kinaamini katika kusema kweli, kinaamini katika vita dhidi ya rushwa, kinaamini katika umoja kinaamini katika kujitoa, kinaamini katika kazi ni kipimo cha utu.
Sasa nikikutizama wewe unaamini katika ubwanyenye, unamini katika kuhodhi mali, unaamini katika umangimeza, unaamini katika mimi ni mwenyekiti peke yangu na hakuna mwingine. Sasa utaanza kunipoteza.
Sifieni kama kuna mambo ya kusifia na onyeni kama kuna mambo ya kuonya lakini hekima busara kwa sababu kauli hiyo ni kauli ya moto inaweza ikatujenga inaweza ikatubomoa.Kuna namna nyingi za kurekebisha, tusije tukageuza na kujadiliana na Maaskofu, Askofu anasema tunamjibu, tutakuwa tunamkosea Mungu.