Changia kwa staha ndugu yangu.Usiwadhihaki watumishi wa Mungu.Kwa taarifa yako hawa ni wapakwa mafuta.Maaskofu Hawa walishikwa kichwa na mbowe ziro watalipeleka taifa kubaya na matamko ambayo hata hawakubaliani
Mange mbaya sanambona anaji-contradict mwenyewe kwenye statement hii hii moja tu?
kwa kweli jamaa wamechanganyikiwa si mchezo!!
hafai aisee! watu vururu-vururu!!Mange mbaya sana