Wengine tunatumia mchina hatuwezi soma
mmmh,haya ila namina tehama yangu hapa sipat kitu,,,hela ya acer sina
Wengine tunatumia mchina hatuwezi soma
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
This is for the sake of records my brother, condemnation intends to alert the international community to know what is taking place in TZ.!!Ujinga mtupu, sasa hapa kaongea nini? I thought she is calling for a mass movement against this barbaric deeds by the government! Yeye anatoa kauli ya kulaani? Tena anailaani serikali ya viziwi hii isiyo na hata tone la aibu? Huyu Bisimba naye anazeeka vibaya. Amenichefua tu hapa, sijaona la maana!
Hivi unaweza kusimama mbele za watu na kuanza kulaani matendo ya kichaa? Si utaonekana na wewe ni kichaa tu? Kama kichaa analeta kero mtaani kwenu chukueni hatua za ama kuchangishana hela mmpeleke milembe au mmhamishe mtaani kwenu.
Sasa Bisimba anapolaani vitendo vya serikali ya vichaa hii si anaonekana yeye ndiyo kichaa? Imeshalaaniwa na wangapi na kwa mangapi na hakuna chochote ilichorekebisha zaidi ya ubabaishaji usiokoma? To hell with vyama vya wanaharakati visivyo na meno hivi!
Ningekuwa mimi saa hizi ningekuwa naitisha countrywide demonstration against this brutal act bila kujali ni nani amefanya hilo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa watu wake na kama imeshindwa iachie ngazi. Period! Sasa analeta longolongo, ashakuwa mwanasiasa?
Ingekuwa vema kama hawa wanaharakati wangetoa hii taarifa kwa lugha zote mbili: Kiswahili na Kiingereza.
Ikibainika kuwa si state agents, binafsi nitasikitika sana, maana maneno ya Mnyika yatakuwa yametimia kuwa hii serikali ni dhaifu kwa kuzidiwa kete za kumlinda Dr. Ulimboka ambaye ni adui yao na wao wanajua kuwa akipatwa na tatizo lolote wao ndio wanaowajibika. Wakiwa wao walau itaonyesha kuwa nguvu za Mungu zimemlinda mwanaukombozi huyu shupavu. Fikiria mkuu
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Ujinga mtupu, sasa hapa kaongea nini? I thought she is calling for a mass movement against this barbaric deeds by the government! Yeye anatoa kauli ya kulaani? Tena anailaani serikali ya viziwi hii isiyo na hata tone la aibu? Huyu Bisimba naye anazeeka vibaya. Amenichefua tu hapa, sijaona la maana!
Hivi unaweza kusimama mbele za watu na kuanza kulaani matendo ya kichaa? Si utaonekana na wewe ni kichaa tu? Kama kichaa analeta kero mtaani kwenu chukueni hatua za ama kuchangishana hela mmpeleke milembe au mmhamishe mtaani kwenu.
Sasa Bisimba anapolaani vitendo vya serikali ya vichaa hii si anaonekana yeye ndiyo kichaa? Imeshalaaniwa na wangapi na kwa mangapi na hakuna chochote ilichorekebisha zaidi ya ubabaishaji usiokoma? To hell with vyama vya wanaharakati visivyo na meno hivi!
Ningekuwa mimi saa hizi ningekuwa naitisha countrywide demonstration against this brutal act bila kujali ni nani amefanya hilo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa watu wake na kama imeshindwa iachie ngazi. Period! Sasa analeta longolongo, ashakuwa mwanasiasa?
Very very excellent Bisimba
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
Ingekuwa vema kama hawa wanaharakati wangetoa hii taarifa kwa lugha zote mbili: Kiswahili na Kiingereza.
Umepost sana kwenye server ya JF sasa ni wakati wa kuchangia tokea umejiunga 20-june- 2011 hujatoa hata cent hapa wewe gambaHawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Teh teh teh! Yes I am! are you happy now?wewe ni mpum$#6&* juzijuz ulikuj kweny maandamano?