Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Unamaana nikienda sehemu kufanya uhalifu kisha nikajitambulisha kuwa nimetoka JF basi utaamini kirahisi?? Funguka angalia mambo kwa upana wake kama unataka kufikiri kwa ukweli na haki usianzie kwenye hitimisho mkuuAfisa waliekuwa nae alijitambulisha anatoka ikulu, na ndie aliyewaita hao watekaji kuja kumtocha Dr Ulimboka, unabisha nini kama hawa hawakuwa state agents. Watu kama nyinyi Maundumula siku zenu zinahesabika, haya maovu mnayowafanyia wenzenu yana mwisho, muanze kutubu la sivyo mtalia, mtateswa zaidi ya hivyo mlivyomtesa Uli.
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Wengine tunatumia mchina hatuwezi soma
Wa TZ wabinafsi na wanafiki.
Leo kwa Dr kesho yaweza kuwa kwako.
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
Sasa mkuu ulitaka serikali wampe ving'ora na bodyguards?
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Ili hawa LHRC na THRD-c wawe impartial inabidi watoe press release nyingine kuwalaumu madaktari kwa kugoma wakati kwa asili ya kazi yao hawaruhusiwi kugoma. Ni watu wangapi wamekufa kwa kukosa huduma yao tangu waanze migomo ???
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu. Kwa upande mmoja ni sawa walivyomfanyia coz wao kupitia migomo yao wanasabibisha watu wanakufa kwa kutokupata matibabu!!! Acha naye akipate cha moto. However kibinadamu pia hakutendewa haki.
Mzee kuna vacancy ya ualimu hapa kama uko tayari, kwa wewe huna haja ya interview.Analyzing Decision Making
A decision is a judgment or choice between two or more alternatives and arises in an infinite numbers of problems to the implementation of a course of action. Managers of a people, by definition, must be decision makers.
1. Examine every alternative closely before making decision.
2. If you found that previous decisions are still workable make use of them.
3. Make long-term decisions with the short term in mind.
4. Change decisions that are no longer appropriate.
5. Consider the implication of each decision-they can be huge.
6. Try to foresee and prepare for any changes in a situation.
7. Always ask what can go wrong when you are making a decision.
8. Always consider all the possible outcomes when making decision.
9. Always Try to balance an intuitive hunch with sound logical analysis
10. Asses your decision Making abilities and strive to improve them.
• Who makes decisions?
A decision is a choice between a variety of alternatives, and a decision Maker is whoever makes such choice.
A decision can be made instantly but more often involves the decision maker in a process of identification, analysis, assessment, choice, and planning. To arrive at a decision Managers must define the purpose of the action, list options available, choose between the options and then turn that choice into action. Decisions and the process of decision making are fundamental to all management processes – just as they are everyday life.
Identifying Decision Making Style
1. Assess your decision Making abilities and strive to improve them
2. Always improve your intuitive hunch with sound logical analysis