Human microchips analysis

hii inshu ni kweli,wiki iliyopita bbc swahili walionesha mtu kaweka chip kwenye mkono...bt sikuifatilia sana
Kuna watu hawasomi au kusikiliza habari au pengine hawaelewi
 
Hawa ndio huwakuta kutwa kucha wanasoma magazeti ya udaku na ukimkuta mtandaoni basi ni insta fb badoo na ngono
Waache hao mkuu maana watakuja kukumbuka shuka wakati kumekucha. Wazungu huwa hawajali kitu kitachukua muda gani ilimradi wanaona mafanikio. Wakati sisi tukilala na kufuatilia vitu vya kipumbavu wao wanakesha maabara kujaribu vitu vipya.
 
Yaanii hii nilikua naisoma zamani kwenye mtandao wa David Icke na Google pia nilikua
na watakuja na sababu ambazo kiuhalisia utaona zina msingi saana lakini ndio mwisho wa uhuru wa binadamu. Ni kweli hachomoki mtu, lakini pia madhara kiafya lazima. Mshana jr
 
Kuna ambazo zimewaletea watu mzio na kuna kesi chache za kansa kuna picha nimeattach
 
Mradi wa kuwawekea binadamu wote "microchip" mwilini ili records za kila binadamu ziweze kufuatiliwa katika computer moja ulimwenguni kote na ziwe accessible kupitia connection ya satellite. Kwa hiyo hicho ki "microchip" kinakua na unique identification number kwa kila mwanadamu mfano wa zile identification codes za bidhaa za super markets, yaani ukipita popote hakuna haja ya kuulizwa kitambulisho, hiyo microchip ndiyo access code, hivyo asiyekuwa na microchip akitaka kupita kama ni kwenye huduma let say airport, hospitali, library n.k milango inagoma kufunguka!! pia hospitali huhitaji kutaja jina lako ukiingia tu chumbani kwa dokta kuna chombo kinasoma microchip iliyoko mwilini mwako mara moja records zako zote zinatokea kwenye screen ya computer ya dokta. Wasioelewa athari za hiyo microchip kwa harakaharaka wanaweza kudhani ni maendeleo makubwa ya kitechnoloji. Na lengo ni lao kuiona dunia yote siku moja kwa namna moja ama nyingine inakuwa controlled.
Wanadai Africa inaweza kuchelewa na kuwa ya mwisho kufikiwa pengine ndio cha kushukuru.
 
Habari za wasabato hizi, utasmbia nibutabiri wa bi helen. Msmbo mengine umu duniani ukiyafuatilia utawehuka. Ni bora saa nyibgine kukaa kama mjinga
 
Nullpointer ni term inayotumika kwenye Sayansi ya Computer na C++ ni moja ya object oriented language katika sayansi ya computer hivyo nafikiri ni mtaalamu wa computer...aliyeleta wazo la kuhifadhi data kwa kutumia computer badala ya files za kawaida,alipingwa sana kwasababu kiuhalisia wakati huo walikuwa hawahui ni kwa namna gani itawezekana ila ilikuja kuwezekana.So hata hiyo microchip itawezekana na DW,BBC hata yahoo wameandika kuhusu hilo na maonesho ya Hannover hiyo tech. wameionesha pia.Itawezekana tu labda kifo tu ndo kitawashinda mkama cell of living organism wana-uwezo wa kumtengeneza why microchip
 
hayo maonyesho ya kuwekewa microchip nimeyaona kupitia tv za ujerumani. Kuna watu walijitokeza na kuwekewa katika viganja vyao vya mikono kwa juu kati ya kidole gumba na kidole cha shahada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…